ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Nani chadema wewe au sisi
Nenda segerea kamwone dj wako achana na mwanaume wa CCM
Nani chadema wewe au sisi
Alokwambia CDM wanamtaka Membe ni nani??? Wanaomtaka BM ni wa hukohuko kwenu...... Yaan mchama wenu umeshaparanganyika paranganyika.....Kwahiyo Chadema mzee Lowassa hamumtaki tena!
Salaleee.kumekucha wana CCM wenzangu
Na bado awamu ya pili mtaishi kama" kuzimu"Jiwe limepoteza mvuto. Limeharibu uchumi wetu hadi wananchi tunaishi kama mashetani. Ni kheri litupwe baharini tupate kustawi.
Membe ni President material kabisa atatufaa sana
Nyoko zenu.juzi pale udsm bashite hakumwita mwenyekiti wa CCM wa dar na kuanza kuisifia CCM hizo siyo kampeni.?Mumeanza mambo yenu
Siasa mpaka 2020
Mbona hamuelewi?
Huu ndiyo ukweli haswaaEti ondoa jiwe![]()
![]()
![]()
bado 7yr tulia hvyo hvyo dawa ikuingie
Safari ya 2020 imeanza .tumechoka kuishi kama mateka ndani ya nchi yetuMmeanza Mmegeukana wenyewe kwa wenyewe... Teh teh teh tutaona mengi kabla ya 2020
Hahahaha Mnaenda kichwa kichwa sana...Tuondoleeni upuuzi hapa muda wa kampeni upi? Mbona magufuli anapigia kampeni CCM kila siku majukwaani tangu 2015 au wewe kipofu huoni?
Wapiga dili jpm kawaminya korodani vibaya sana mpaka watafuta pa kutokea. Wanabaki kutaka watu calibre ya JK ili mambo yawe kama zamani. Akitoka JPM tunaweka majaliwa au makonda.Mpiga dili ni wewe
Na bado awamu ya pili mtaishi kama" kuzimu"Jiwe limepoteza mvuto. Limeharibu uchumi wetu hadi wananchi tunaishi kama mashetani. Ni kheri litupwe baharini tupate kustawi.
Hamtaki tena chaguo LA MunguSafari ya 2020 imeanza .tumechoka kuishi kama mateka ndani ya nchi yetu
Unanipangia chama? Sipangiwi mimiWewe sio CCM and never will be chadrama mcharuko
Nenda segerea kamwone dj wako achana na mwanaume wa CCM