2020 sitampa kura Magufuli

aliyekudanganya Tanzania kuna kuchagua ni nani? hata leo hii serekali imeshapanga rais hadi 2030
 

Haukumpa 2015.... na ukapata za uso.... 2020 Magufuli tayari ana mtaji mkubwa.... wape tena MAJIPU wenzako! UKIWA WAKIWA kifo CHA MENDE!
 
Kabla ya uchaguzi mlisema hana nia ya kupambana na ufisadi lakini haikubadilisha lolote. Maneno yenu yalikuwa ni kama kelele za vyura kwa sababu kwa sasa yuko Ikulu.

Hata kwa sasa mkiendelea kusema, haiwezi kusaidia lolote zaidi ya kupoteza muda wenu.

Hata kwenye uchaguzi Mkuu ujao mkiendele kusema haiwezi kubadilisha chochote.

Badala ya kujitafakari ili mfahamu mapungufu yenu, bado mnaendelea na kampeni wakati yeye anaendelea kutimiza ahadi zake.
 
Hiyo kura yako hatuitaki CCM acha pumba kuna monitoring na evaluation.evaluatolion ni mwisho wa program,monitoring ni day to day follow up ya program.ilani ya uchaguzi inafanyiwa evaluation baada ya miaka 5 hiyo yako duh?hata mwanamke ukimjazia muwa mimba ikatunga baada ya miezi 9 ndio unapata mtoto we maendeleo na mabadiliko ya nchi unayataka miezi 6?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Kwenye hilo la ushauri sahau yeye anajua kila kitu.
 
Anajua mbona bei inazidi kupanda? Au we uko dunia ya wapi?
NIko TZ hii mahali nilipo jtatu wiki hii sukari ilikua shs 3000 na huuziwi mpk mwenye duka akufahamu, na hauzi zaidi ya kg 2 Kifupi kama Watanzania wengi wanavyodai kwenye hili la sukari Mheshimiwa alikurukupa na kwa kuwa si mtu wa kushaurika unategemea nini? kama ulivyosema yapo mengi magumu kwa wananchi yanakuja.
 
Uctudanganye ww hujampa kura yako na kwa taarifa uchaguz uliisha jipangen upya 2020
 
nani alikwambia umpe in the first place bora ungempa yule jamaa ambaye kampeni zake alikuwa anaenda na kipazasauti na spika hahahaha pole sana
 
omba uzima kwanza bwana mdogo
 
Na kura yako tu c shida,ila unaweza kishawishi wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…