Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,832
- 38,711
Azam hawaonyeshi matcha zoteUtv
Channel mpya ya Azam itaonyesha live
Azam hawaonyeshi matcha zoteUtv
Channel mpya ya Azam itaonyesha live
Matcha ni nini Mkuu!??Azam hawaonyeshi matcha zote
Daah kweli bongo nyoso...utaambiwa ndo patriotism
Hufuatilii habari ndugu.... Pierre kashapewa ticket.Uzalendo ungeanza kwa kutimiza ahadi, Pierre Liquid aliahidiwa tiketi.... watimize hilo kwanza.
Mkuu jaribu kuwa na uhakika na vitu kabla hujaandikaAzam hawaonyeshi matcha zote,hata ya ufunguzi tuu hawaonyeshi.
Acha ubishi usio na maana. Nenda Facebook page ya Azam TV wameweka ratiba yote. Usiwe unapenda ubishi bila evidenceAzam hawaonyeshi matcha zote,hata ya ufunguzi tuu hawaonyeshi.
Hata zukuVp mkuu iyo UBC inapatikana kwene kisimbusi cha Azam na Dstv pekee ama hata startimes
Startimes dish haipoUBC inapatikana kwenye visimbusi vyote unavyovijua wewe
azam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
Hiyo chaneli itaanza kupatikana 19 july baada ya kuisha kwa Afconazam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
Afadhali umemuumbuaMkuu jaribu kuwa na uhakika na vitu kabla hujaandikaView attachment 1132226
Ipo search upya channel kwenye kisimbusi chako 101 kwa DTT and 447 kwa DTHStartimes dish haipo
Rais huyu huyu aache kujiangalia Tbc aangalia taifa star kweli unamjua uu unamsikiaga tuHata raisi mwenyewe atakuwa anaitazama Taifa stars kupitia DSTV, uko wapi uzalendo hapo
ataangalia mkuu, kasema atawafuatilia kwenye runingaRais huyu huyu aache kujiangalia Tbc aangalia taifa star kweli unamjua uu unamsikiaga tu