BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,028
Atawafungia wewe na nani?Samatta atatufungia goal moja LA ushindi dakika ya 49_50
Atawafungia wewe na nani?Samatta atatufungia goal moja LA ushindi dakika ya 49_50
Ni saa moja kabla ya mchezo sio sikuHata mm nimeshangaa na Morris!Nimekichukua kwenye mtandao wa livescore.Vikosi vinatolewa siku moja kabla ya mchezo.Tutaendelea kufuatiloa kama Agrey anacheza au.
Atawafungia wewe na nani?
Haijawahi na haitakuja itokee, zikiwa chache 2-0Si kweli, hakuna formula hiyo, you have a fairly low self esteem, kama sio draw tunashinda leo.
Unafiki na ubinafsi ni pepo wabaya sana.Okwi kaiwakilisha Simba vyema kabisa.
Ulitoa ngapi kwenye bakuli likubwa kabisa.Unafiki na ubinafsi ni pepo wabaya sana.
Thibitisha kuwa watapigwawatapigwa wachakae.....
Sisi Tanzania. Wangewalipa million kumi kumi zao walizowaahidi watawapa endapo watafanikiwa kukwalifai.Wakina nani hao madam??
Smart guy
Kiukweli uzalendo awamu hii da basi tu,kila la heli Senegal waafrica wenzetu
Kumbe!!! basi kazi tunayo aiseeSisi Tanzania. Wangewalipa million kumi kumi zao walizowaahidi watawapa endapo watafanikiwa kukwalifai.
Nimechangia 1000 tu. Sema lingine. Ubinsfsi in dhambi kubwa kuliko zooote.Ulitoa ngapi kwenye bakuli likubwa kabisa.