2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hua nawashangaaa Simba na Yanga kukimbilia wachezaji kutoka Afrika ya Magharibi ambao baadae inakuja kuonekana ni magarasha tu

Wachezaji wa uhakika wenye maumbo ya ki spoti, wavumilivu, wanye vipaji, wanaojua kuuchezea mpira na cheap kwenye kuwalipa wanapatikana Burundi na DR Congo

Jaribu kuwafatilia perfomance yao kuanzia enzi za kina Constantine Kimanda, Nonda Shaban hadi kina Amis Tambwe na wengineo
 
_*TANZANIA'S PREDICTED 🇹🇿 PERFOMANCE IN AFCON 2019*_

*GROUP STAGE*
Tanzania 🇹🇿 1-1 Senegal 🇸🇳
🇰🇪 Kenya 0-3 Tanzania 🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 0-0 Algeria 🇩🇿

*GROUP STANDINGS*
🇸🇳 Senegal points 7
🇹🇿 Tanzania points 5
🇩🇿 Algeria points 4
🇰🇪 Kenya point 1

*ROUND OF 16*
Tanzania 🇹🇿 1-0 South Africa 🇿🇦

*QUARTER FINALS*
FT 🇳🇬 Nigeria 1-1 Tanzania 🇹🇿
_Penalties_
🇳🇬 Nigeria 3-5 Tanzania 🇹🇿

*SEMI FINALS*
Tanzania 🇹🇿 2-1 Cameron 🇨🇲

*FINAL*
🇪🇬 Egypt 0-2 Tanzania🇹🇿

Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is declared the 2019 Champion of AFCON in Egypt 😋😋😋

*_Mbwana Ally Samatta becomes the Top scorer of the tournament with 8 goals._

* *🇹🇿🇹🇿🇹🇿VIVA VIVA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 VIVA VIVA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿*
 
Hayo Magoli 8 Samatta kayatoa wapi maana jumla ya magoli yote Hadi final ni 6
Kumbe magoli 9 basi ndoto hii inaweza ikawa kweli,na tukichukua ubingwa Samatta atakua mchezaji Bora wa Africa
 
Back
Top Bottom