Na mimi nimeshangaa. Itakuwa anamaanisha Tunisia.Mzee baba nadhani unaota bila shaka.![]()
Na mimi nimeshangaa. Itakuwa anamaanisha Tunisia.Mzee baba nadhani unaota bila shaka.![]()
Hawajui kubet haoMikeka imeshachanwa
Kumbe refa anaelead VAR CAF wamekodi kutoka ulaya. Nimeshangaa mtangazaji anasema refa mkuu wa VAR anatoka Uholanzi. Kweli Africa bado sana.
Algeria wanashambulia jamani. Sitaki stress leo nipo na Algeria .
Naamini nitafurahi.Mwisho wa mechi utaumia tuu🤣🤣🤣🤣
Mkeka wako bado unaishiHawajui kubet haoView attachment 1153801
Rudia tena.Nigeria anashinda
Trust me![]()
Naamini nitafurahi.
Nimeshaanza kufurahi. Algeria 1.Nigeria 0.Tusubiri dk 90 😂😂😂
Nimeshaanza kufurahi. Algeria 1.Nigeria 0.
Huyu beki wa Nigeria majanga. Kapiga kichwa kikali namna ile kiper mwenyewe hakuwepo. Algeria 1.Nigeria 0.
Mechi haijaishaRudia tena.
Wachawi kinyamaMechi haijaisha
Wazee wa sangoma hawa
Siwakubali kwa mpira ila ndumba zao
Uchawi hauna nguvu kwenye mpiraWachawi kinyama