Kwa huu mkeka wako algeria anachukua kombe. Bisha, jifanye unajikuna
Umekosea Senegal mpaka ndoo anabeba
Kwa huu mkeka wako algeria anachukua kombe. Bisha, jifanye unajikuna
HahahahaAlafu hizi mechi kuanzia semi-final ingekuwa akili zangu mechi iishie dk 90 tu kama hakuna magoli waende matuta tu.
Tunachoshana tuu
Sioni maana ya VAR kuwepo, penati ya wazi kabisa wamenyimwa tunis.
Mwaarabu anapata penalt.
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Haya mavar hamna kitu mkuu, penati ya wazi kabisa wamenyimwa.
Haya mavar hamna kitu mkuu, penati ya wazi kabisa wamenyimwa.
Bila shaka umebeti au wewe ni mwarabu...pole sana ila nawachukia waarabuHaya mavar hamna kitu mkuu, penati ya wazi kabisa wamenyimwa.
BP ya huu mkeka inafulctuate hatari, ngoja tuone kama utasurvive maana unakaribia kwenye threshold pointKwa huu mkeka wako algeria anachukua kombe. Bisha, jifanye unajikuna
VAR inawaokoa Senegal. Ila dhahiri shahiri ile ni penalt.
Wananichanganya apa mkuu. TunisiaAlgeria? Mkuu upo kweli!!!!!
![]()
HahahhaaaMzee baba nadhani unaota bila shaka.![]()
Ile ilikuwa penalty kabsaHaya mavar hamna kitu mkuu, penati ya wazi kabisa wamenyimwa.
Kuna jamaa analia kinoma hapaMikeka imeshachanwa