2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nasisitiza, Algeria anachukua kombe, jifanye unajikuna kama unabisha
Hapana umekosea mkuu
Senegal mpaka finali na ndoo anabeba
Senegal anabeba ndoo
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.

Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.

1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.

IMG_20190709_092223.jpg
 
Back
Top Bottom