2018 (Russia) & 2022 (Qatar) World Cup Draw in Zurich

nikweli Qatar walisema wataweka viyoyozi viwanja vyote vitakavyochezewa mechi za world cup 2022 na uwezo huo wanao,matajirisana hawa mkuu ni PETRO DOLA hao,sijui huko rusia itakuwaje au nawao wataweka hiter machine viwanjani mana kuna barid sio mchezo,ni theluji la nguvu,hongera rusia,hongera Qatar.
World Cup itachezwa wakati wa majira ya joto kwa hiyo hamna tatizo, tatizo ni mambo ya usalama na masaa tuu.
 
Huko Qatar akina dada wataruhusiwa kuvaa kama hawa tuliowazoea kwenye world cup zilzopita ama ndio mambo ya kufunika mwili mzima? Heheh challenge nyingine ni kwa wanywa pombe kazi mnayo.
italy-fan2.jpg
Brazil1.jpg
dutch.jpg


 
Huko Qatar akina dada wataruhusiwa kuvaa kama hawa tuliowazoea kwenye world cup zilzopita ama ndio mambo ya

Watavaa tu .wata treat viwanja kama nchi nyingine Hizo sheria zitwakuwa nje ya uwanja? Nimeona kwenye mashindano ya magari Formula 1 Abu dhabi. Washindi wanarusha mvinyo tena unawadondonkea viongozi wao.

Teh teh
 
Watavaa tu .wata treat viwanja kama nchi nyingine Hizo sheria zitwakuwa nje ya uwanja? Nimeona kwenye mashindano ya magari Formula 1 Abu dhabi. Washindi wanarusha mvinyo tena unawadondonkea viongozi wao.

Teh teh
Hahaha mkuu kuhusu mvinyo kuna zile non-alcoholic champagne ni kama juice tu I guess ndio hizo wanazotumia.
 
Hata mimi nimeshangazwa kwa kweli. Ila FIFA kuna uchakachuaji wa hali ya juu.....
 
Waingereza wanavyo lalamika kukosa kuandaa kombe la dunia, utafikiri football ni ya kwao peke yao...!
 
Sasa huko Qatar kweli wataturuhusu kunywa mikebe yetu ya Heinekeni mitaani wakati wa wC!?? arghh! Mashaka makubwa sana!!
 
Waingereza wanavyo lalamika kukosa kuandaa kombe la dunia, utafikiri football ni ya kwao peke yao...!

Unajua unaweza ''kushindwa'' lakini ukiangalia hadhi ya aliyekushinda, unajua kabisa kwamba something is wrong somewhere!
 
cheki hii link: Qatar brings 2022 World Cup to Middle East, Qatar Football - Maktoob News

Qatar brings 2022 World Cup to Middle East


Dec 02, 2010 at 19:43
View count (14508) | | |
sent.jpg
|
coment.gif




Rating_Stars.gif
Rating_Stars.gif
Rating_Stars.gif
Rating_Stars.gif
Rating_Stars.gif








By Regan E. Doherty, Reuters
DOHA - Summer temperatures which can soar to above 50 degrees Celsius and a concern about lack of infrastructure did not deter FIFA on Thursday from awarding the 2022 World Cup to the tiny Gulf state of Qatar.

The Middle East has never before hosted a major global sporting event and analysts said Qatar's win would do much to boost the region's global profile.

FIFA were likely to have been swayed by Qatar's hefty financial prowess with money no object for the world's largest exporter of liquefied natural gas.

The country's economy, forecast to grow by 15.5 percent this year, is expected to soar by a staggering 21 percent in 2011, allowing Qatar to pour as much cash as necessary into preparations for 2022.

It is likely to spare no expense in constructing stadiums for the event. The ultra-modern Lusail Stadium, which has yet to be built, will host the opening and final matches.

With a capacity of 86,000 and surrounded by water, it will take four years to build and is expected to be completed by 2019.

CONSTRUCTION SITE

Under the proposals submitted to FIFA, Qatar would renovate three stadiums and build nine new ones, with the 12 stadiums divided among seven host cities.

The total cost of the construction and renovation is estimated at around $3 billion. It submitted a budget of $645.5 million to run the Confederations Cup in 2021 and the World Cup the following year. It projects a total number of 2,869,000 tickets will go on sale.

Still, much remains to be done, and many wonder whether even 12 years will be enough. The country is still being built, with much of the capital city Doha resembling a construction site.

Qatar has launched a huge spending programme in recent years to build infrastructure needed to accommodate its rapidly expanding population, now estimated at 1.7 million.

Over the next five years, the country will build a $25 billion rail network, an $11 billion new airport, a $5.5 billion new deep water seaport and a $1 billion crossing linking the new airport with mega-projects in the northern part of the capital, Doha. It will also spend an additional $20 billion on new roads.

Plans are in place to complete a metro system connecting each stadium by 2017 with venues no more than one hour apart from each other.

"Budget is not a constraint," said Jamal Al-Kaabi, manager of roads and drainage at Ashgal, Qatar's Public Works Authority.

Doubts linger over whether Qatar will be able to handle an influx of about 400,000 fans, many on a tight budget. Hosting a World Cup would require the capacity for 32 teams, their travelling fans and a huge media presence.

The country currently has about 50,000 hotel rooms and will need 60,000 to meet the requirements of world soccer's governing body. Bid leaders have promised 95,000 rooms will be available by 2022.

"With the Asian Games, it became a last-minute panic to get everything ready and in place," one Doha resident said. "The biggest thing is that there is so much to be done. It's a monumental task, and you need to finish it a few years early."

ISLAMIC NATION


The country's conservative social mores may present a larger challenge than bid organisers anticipated. While it has become more Westernised in recent years, it is still a relatively closed Islamic nation.

Although Qatar has been eager to display a liberal and welcoming image to inspectors and media during recent months, the sale of alcohol and the possibility of rowdy behaviour from World Cup fans are likely to be a significant hurdle in an Islamic country where public drunkenness is prohibited.

Bid representatives have said alcohol will be allowed in designated areas throughout the tournament.

Although the tournament is played during the two hottest months of the year, bid organisers said the heat would not be an issue thanks to climate-controlled, zero-carbon-emitting stadiums.

The country has harnessed solar-powered technology to cool stadiums to about 27 Celsius.

The stadiums would also be partly dismantled after the finals, with the extra seating shipped to developing nations who could reconstruct them as smaller stadiums for their own use, a plus for developing football globally, bid organisers said.

Qatar will be the smallest host nation to stage the finals since Uruguay hosted the first World Cup in 1930. Ten out of its 12 stadiums are located within a 25 to 30 kms radius.
 
hapa Osama bin Laden anaandaa mashambulizi mapeeeema ili ifikapo 2022 tuweze kushuhudia 9/11 "against the infidels!"
 
Unajua unaweza ''kushindwa'' lakini ukiangalia hadhi ya aliyekushinda, unajua kabisa kwamba something is wrong somewhere!
Waingereza wabinafsi bana, kila kitu wanataka wao... Si wanaandaa olympics 2012 haiwatoshi tu!?
 
Known as the State of Qatar or locally Dawlat Qatar, is an Arab country, known officially as an emirate, in the Middle East, occupying the small Qatar Peninsula on the northeasterly coast of the much larger Arabian Peninsula. It is bordered by Saudi Arabia to the south; otherwise, the Persian Gulf surrounds the state. A strait of the Persian Gulf separates Qatar from the nearby island nation of Bahrain. Qatar is an oil- and gas-rich nation, with the third largest gas reserves, and the first[8] or second highest GDP per capita in the world.

Capital: Doha

Official language(s): Arabic

Independence: National Day
December 18, 1878 Independence from the Ottoman Empire 1913

Area: Total 11,437 km2 4,416 sq mi

Population 2010 census: 1,696,563

GDP
(PPP) 2009 estimate
- Total $102.147 billion
- Per capita $83,840

GDP (nominal) 2009 estimate
- Total $83.910 billion
- Per capita $68,871

Drives on the right

Calling code
974
 
Qatar walishasema wataweka ac viwanja vyote, ni kweli kuna joto sana

Hawa jamaa kiboko hivyo viwanja ni disposable, baada ya kombe la dunia watavidismantle na kuvigawa kwa nchi zinazoendelea! Hii imewapa kura nyingi sana! Qatar wanahela mno. England accommodation zao ni aghali na vimeo. Hotel London vyumba vidogo na bei ya kufa mtu. Pia hooliganism imechangia kukosa
 
Hawa jamaa kiboko hivyo viwanja ni disposable, baada ya kombe la dunia watavidismantle na kuvigawa kwa nchi zinazoendelea! Hii imewapa kura nyingi sana! Qatar wanahela mno. England accommodation zao ni aghali na vimeo. Hotel London vyumba vidogo na bei ya kufa mtu. Pia hooliganism imechangia kukosa
Sidhani England pamoja na kuwa ni very expensive kama imechangia kushindwa.UK wanapata tourists karibia milioni 30 kwa mwaka Quatar sidhani kama wanafikisha hata milioni 3.

WaEnglish wanapenda haki,tumeona kwenye saga la rada sisi ndio tuliopata hasara na wao ndio waliopata faida lakini SFO wakaamua kusimamia haki.Na ndicho BBC walichofanya,sidhani kama wajumbe wangewapa England kura baada ya Panorama.Yule Mnaigeria aliyekuwa ana demand dola laki tano for vote,nchi kama Russia ni "swadakta".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom