2018 (Russia) & 2022 (Qatar) World Cup Draw in Zurich


Ab-Titchaz

Content Manager
Joined
Jan 30, 2008
Messages
14,702
Likes
133
Points
135

Ab-Titchaz

Content Manager
Joined Jan 30, 2008
14,702 133 135
_50272692_766blatqat.jpgQatar wamechukua ya 2022!!!!....haya kazi kweli hapo. Watu washaanza kuuliza je Israeli watashiriki kucheza na nchi za kairabu?...kwi kwi kwi!!!

Wamarekani washaanza kukashifu Qatar eti sijui kuna joto jingi,mara taifa sijui ni dogo na japo hawasemi....najua watasema Al-Qaeda wamo!
 

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
2,819
Likes
52
Points
145

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
2,819 52 145
Duh! Yaani Uingereza na 'vuvuzela' wake wote imepigwa chini? Kweli Russia wakali! Nadhani huu utakuwa ni uteuzi wa haki maana mzee wa Judo Putin alikuwa atie timu Zurich kupiga debe lakini baadae akasema asingekwenda maana FIFA waliishaamua na aende ama asiende isingeweza kubadili uamuzi wao! Russia?? Yatafanikiwa kweli?
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
Waingereza watazaaaa na FIFA. kuna kipindi nasikia walitoa kinaonyesha list ya wachakachuajia na wala rushwa ndani ya fifa . Yumo na Issa ahayotou wa africa
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,971
Likes
39
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,971 39 0
Sera ya Blatter ni kuendeleza mpira. Ndio maana aliweka seraya ya kuibeba africa. England tayari wako mbele. England football inaweza kuendelea bila msaada wa FIFA. ndio maana wanapigwa chini.
 
Joined
Feb 9, 2008
Messages
93
Likes
3
Points
15

afkombo

Member
Joined Feb 9, 2008
93 3 15
Russia has won the FIFA vote to host the 2018 World Cup finals, beating competition from England, Netherlands/Belgium and Spain/Portugal.

FIFA chief Sepp Blatter announced the result of the 22-member panel in Zurich, Switzerland. It will be the first time Russia has hosted the tournament.

Qatar have been awarded the 2022 World Cup after seeing off challenges from Australia, Japan, South Korea and the USA.

Soccer / Football News and Scores - ESPN Soccernet
 

Matarese

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2009
Messages
521
Likes
13
Points
35

Matarese

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2009
521 13 35
Du maskini England! pamoja na kuwa na the "best presentation" bado wamewapiga chini, si wangekuja kuwakodi NEC ya Tz huenda wangeshinda! Maskini Beckham!
 

Forum statistics

Threads 1,205,053
Members 457,691
Posts 28,180,813