2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Hongera Mkuu kwa kukubali, lakini hiyo ni mojawapo ya kuufanya mnakasha unoge na kuwa na mashiko.

Nakubali kuchemka ila pia kuna watu nawacheka kwa dharau sana humu ndani leo.

Siku zaidi ya 500 na ushee kabla ya uchaguzi kuna watu walikuwa wanaziangalia hizo zinazoitwa kura za maoni na kuchekelea eti Hillary atashinda kwa vile tu zilikuwa zinamwonyesha yuko juu.

Nikajaribu kuwaambia kuwa kura pekee zenye maana na zinazohesabika ni zile zinazopigwa siku ya uchaguzi na si hizo za maoni, lakini nikawa nabishiwa.

Nani analia na nani anacheka leo?

Ujinga ni mbaya sana na hao wajinga leo nawacheka kwa dharau.
 
Kweli Mkuu, watu walibisha sana kwa kudanganywa na kura za maoni, hawakujua kuwa chombo chaeza zama kingali karibu kutia nanga.
 
Kuna wadau humu hasa kwenye huu mnakasha waliwahi kupost kuhusu Donald Trump kama zinavyosomeka.
Mkuu fakalava naona umeamua kwenda kufukua makaburi. Niliongea sana, na nikiwasihi sana watu waachane na hizo media watafute habari zaidi lakini hawakunielewa. Hata George Betram leo amekumbushia hili. Kama hizo posts zote ulizozi quote hapo ni mimi peke yangu naonekana kumuunga mkono Trump na kuelewa kinachoendelea huku nikiwasihi wengine wajaribu kuanalia kwa macho na akili zao badala ya media lakini wapi...
Eitherway, yameshakuwa yaliyopangwa kuwa.
 
Hongera Mkuu, maana ulikuwa kama jeshi la mtu mmoja.
 
kuna mtu kwenye hii thread ni team Hillary simtaji niliwahi kuelezea wasiwasi wangu kwa bibi clinton,, yaani kwenye maneno kibao niloandika aliishia tu kuangalia ufasaha wangu wa kuandika kisukuma, kiswahili na kingereeza akapata udhaifu akanipiga na kejeli za kutosha sasa namuangalia tu anavochonga ngenga humu nawaza sijui nami nimpige!! ila ngoja nimuache walau trump kanisaidia kumtwanga
 
Ingekua uchaguzi huu ulifanyika kwa demokrasia tunayofuata Afrika Hilary ndio angekua mshindi wa uchaguzi huu kwa wingi wa kura.
 
"Clinton also spoke directly to the women who supported her historic candidacy, calling it “one of the greatest honors” of her life and asking them to not give up their fight. “To all the little girls watching this, never doubt that you are powerful and valuable and deserving of every chance in the world.”
 
Reactions: BAK


 
Reactions: kui
Very true kui, but it won't be easy especially taking into consideration that Dems right now they don't have a leader.

When you fall, you get up, dust off, and keep going. The fight continues, and the glass ceiling is half broken with millions cracks.
 
Reactions: kui
Very true kui, but it won't be easy especially taking into consideration that Dems right now they don't have a leader.


Yeah BAK but thing is, even if she won, there was rumors (I'll look into it again) that there was going to be an eruption in the party after elections. Seems like there was something going on behind the scenes but they hold down because of the election.
So either way, they'll probably have to regroup.
 
Reactions: BAK
Hajitambui kabisa huyu Mkuu. Ukiwa na ndugu kama huyu unajuta tu yaani anamuona mtu baki wa maana kuliko ndugu yake kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.

Jamaa anamwaga mapovu balaa. Nakumbuka alialikwa hadi kwenye debate.
 
Reactions: kui
Nice piece.

..."Because Clinton has been in the public eye for so much longer than many other politicians, she developed an intensely loyal following ― fueled by women who have followed her rise and seen their accomplishments and struggles mirrored in her public life. For women who have faced their own glass ceilings and found they couldn’t advance quite as far as their male counterparts, Clinton’s struggle became part of their own story.."

For Many Women, It Wasn't Just About Defeating Donald Trump. It Was About Electing Hillary Clinton. | Huffington Post
 
Reactions: BAK
Si mlisema haya semeni tena TB Joshua nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…