Ni hatari sana kwa Marekani kuwa na Rais ambaye ambaye hayuko exposed na International Affairs. Sijui kwanini namuona Trump ni mweupe kwenye mambo mengi hususan International Affairs. Hayo yaishie hukohuko kwetu. Maana Trump haelewi genesis ya Syria wala namna nchi yake inavyoendeshwa kwa miaka nenda rudi. Very sad