Kati ya hao wanawake wanne, wawili ambao ni Paula Jones na Kathy Shelton mmoja wao amesema wazi kwamba Bill Clinton alimbaka na Hillary Clinton akamtishia kutosema kokote!
Hiyo ni hatari!
Jamani hawa accusers ni wa Bill na anayegombea ni Hilary. Wakulaumiwa ni Bill na sio mgombea. Km mkuu Ngabu alivyosema awali it has nothing to do with Hilary. Mie naona ni mfa maji haachi kutapatapa. Yeye Trump ajibu mapigo yake.
Ni aibu kubwa kweli debate ya issues mbali mbali muhimu za US na dunia nzima itekwe nyara na mambo ya kuhusu nonino. Simaanishi matendo waliyotendewa hawa wadada na kauli za Trump hayana/hazina uzito.

Shuhudia media itakavyowavamia hawa mwisho wa debate na kuanza kuwarushia maswali mbali mbali kuhusu wao na Bill.
We'll see how this plays out for both sides though, I think it's childish of Trump. He's not competing with Bill.
Trump hana choice he's being put in a corner so he has to come out yelling.
Trump hana choice he's being put in a corner so he has to come out yelling.
I agree with you Mkuu, but this is not the right way to fight back. Angeamua kuomba samahani kwa lugha yake chafu na kutozileta issues za Bill Clinton na wanawake wake na kudiscuss important issues angejizolea points nyingi sana, lakini ndiyo hivyo Trump will always be Trump.

Huu uchaguzi umejaa uchafu. Ingekuwa inawezekana wote waondolewe wateuliwe wengine wapya. Sarakasi zimezidi.
Hata watoto wake pia!Hmm....mke wa Trump anaonekana hana furaha kabisa..
Wow....no shake of hands!
Is that a first in US presidential debate history......?