I think Hillary ndo ataanza kuulizwa swali.
Huyu Trump better be careful na cheche zake zisije mrudia, na hivi kajeruhiwa, atakuwa mbogo leo.
Mbogo aliyejeruhiwa huwa mkali sana. Hujaribu kumshambulia aliyemjeruhi kwa hasira nyingi na nguvu kubwa, bila kujua kwamba kufanya hivyo kunaweza kabisa kumsababishia kujeruhiwa zaidi. The first 20 minutes of this debate are very crucial for both candidates.

Mmeona lakini.
Trump appeared with Bill Clinton accusers before debate.
It's gonna get ugly tonight.
Giuliani ameonya kwamba endapo Trump atachokozwa tena basi atamshambulia sana Hillary Clinton kuhusu ndoa yake na mumewe na ala-link hiyo na serikali ya Marekani na matatizo yalokuwepo wakti ule.
NA BREAKING NEWS:
Kuna wanawake wawili ambao wamejitokeza kutoa ushuhuda kuhusu kudhalilishwa kijinsia na Bill Clinton.

Nilikwambia, he is moving for the kill.
Giuliani ameonya kwamba endapo Trump atachokozwa tena basi atamshambulia sana Hillary Clinton kuhusu ndoa yake na mumewe na ala-link hiyo na serikali ya Marekani na matatizo yalokuwepo wakti ule.
NA BREAKING NEWS:
Kuna wanawake wawili ambao wamejitokeza kutoa ushuhuda kuhusu kudhalilishwa kijinsia na Bill Clinton.
Hmmm! Tonight debate is about p****y excuse my language. Hao wamama wameshachukua ngawira yao mapema.
Is it?
Thanks for correction.
Hmmm! Tonight debate is about p****y excuse my language. Hao wamama wameshachukua ngawira yao mapema.
Kati ya hao wanawake wanne, wawili ambao ni Paula Jones na Kathy Shelton mmoja wao amesema wazi kwamba Bill Clinton alimbaka na Hillary Clinton akamtishia kutosema kokote!
Hiyo ni hatari!
Kwenye video wako wanne....kakosekana Monica Lewinsky😀.
Hahahaaa....natamani Monica naye awepo ndani ya nyumba leo.
Pure hilarity!
Kati ya hao wanawake wanne, wawili ambao ni Paula Jones na Kathy Shelton mmoja wao amesema wazi kwamba Bill Clinton alimbaka na Hillary Clinton akamtishia kutosema kokote!.
Hiyo ni hatari!