Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,545
Mimi nadhani independents wengi kama mimi wamekuwa turned off kupita kifani.Democrats lazima watahakikisha "get out the vote campaign" inakuwa na mafanikio makubwa ili kujihakikishia ushindi. Inawezekana wasipate watu wengi kama 2008 & 2012 lakini kama percentage itaanguka basi si kwa asilimia kubwa sana.
Hata mie namkubali Biden. Sijui tu kwa nini hawakumpendekeza. Wakuu wanawake including myself tumedhalilishwa mno. Naona leo mama Trump hapakaliki. Itabidi awe peke yake ili akili imrudi maana atakuwa amechanganyikiwa.Umeona eeh?
Bill na Donald ndo walewale tu.
Tofauti yao mmoja ni ana makelele mengi, bishoo, huku mwingine ni slick kama nyoka.
Na mmoja wao anaenda kuishi White House.
Na ni kweli. Hillary alishiriki sana kuwazima wanawake waliodhaliloshwa na mumewe.
Na hata uamuzi wa kubaki kwenye ndoa na Bill ni kwa sababu ya ambitions za urais tu.
Binafsi nilitaka sana Biden ndo awe nominee.
I like Joe.
Hata mie namkubali Biden. Sijui tu kwa nini hawakumpendekeza. Wakuu wanawake including myself tumedhalilishwa mno. Naona leo mama Trump hapakaliki. Itabidi awe peke yake ili akili imrudi maana atakuwa amechanganyikiwa.
WOW! this is getting out of hand for Trump, he should do something to save his face.
WOW! SMDH!
Donald Trump to Howard Stern: It's okay to call my daughter a 'piece of ass'
Hmmm! kama ukiisikia kauli hiyo unaweza kumnunia kwa kipindi kirefu. Baba anayejitambua anajua mipaka yake na kamwe hawezi kutoa kauli kama hii.
Alikuwa anatafuta soko la binti yake. Wampeleke aangaliwa. Naamini kabisa hayuko vizuri. Watoto, mke sijui watatokaje kwenye public.Hmmm! kama ukiisikia kauli hiyo unaweza kumnunia kwa kipindi kirefu. Baba anayejitambua anajua mipaka yake na kamwe hawezi kutoa kauli kama hii.
Mike Pence should just quit the ticket. He will win me over if he does.
This is about human decency. Human decency has nothing to do with politics.
Alikuwa anatafuta soko la binti yake. Wampeleke aangaliwa. Naamini kabisa hayuko vizuri. Watoto, mke sijui watatokaje kwenye public.
Wakuu ashakumu si matusi lakini kwa alivyosema Donald sitashangaa km hakum binti yake. Si mmeshasikia baba wengine wanatest mabinti zao kwanza. Nasema nimeshasikia ila sijahakikisha.Right, baba yeyote kuongea kuhusu physical appearance ya binti yake in that manner is not right, atakuwa kama anamvua nguo.
Umenikumbusha Chelsea Clinton na dingi yake kipindi kile cha Monica Lewisnky[emoji23] [emoji23]Halafu huyo binti yake yuko very smart, sijui yuko katika hali gani sasa hivi. Namhurumia sana halafu anampenda mno baba yake na amemtetea mara nyingi sana.
Umenikumbusha Chelsea Clinton na dingi yake kipindi kile cha Monica Lewisnky[emoji23] [emoji23]
Hii midingi mingine hovyo kweli aisee.
Scandal ya Lewinsky ilikuwa ni 1998.Hata sijui Bill naye alikuwa anawaza nini mpaka akafanya aliyoyafanya, na mimi nilimwamini 100% aliposema mbele ya Camera, "I did not have sex with that woman" kumbe alikuwa anatuzuga tu pamoja na ile scandal kubwa lakini bado akashinda 1996.
Wakuu ashakumu si matusi lakini kwa alivyosema Donald sitashangaa km hakum binti yake. Si mmeshasikia baba wengine wanatest mabinti zao kwanza. Nasema nimeshasikia ila sijahakikisha.
Scandal ya Lewinsky ilikuwa ni 1998.
Baada ya uchaguzi wa 1996. La sivyo asingeshinda maana alidanganya wazi kabisa huku Hillary akiwa kasimama pembeni yake.
Lakini Bill licha ya ushenzi wake ni mstaarabu bana.
Pia sio mwehu kama huyu Trump.
Mahoza Trump mwenyewe anasababisha watu wafikirie hivi, na huwezi kujilaumu au kuwalaumu.
Kama mwanamke, siwezi hata kufikiria baba yangu kuongelea maumbile yangu yalivyo.
Ni mzazi ambaye ana kasoro kubwa ya kiakili ndiye anaweza kufanya huu upumb.avu. Huyu jamaa hayuko sawa kichwani au labda utajiri wake unamtia wehu hivyo huropokaropoka kabla ya kutafakari athari ya kile anachoropoka.