BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #401
Nimeona hiyo ya akina Bush na Romney. Sijui kama GOP wataweza kumtosa na kusema huyu si mgombea wa chama chao na hivyo uchaguzi wa 2016 GOP hawana mgombea wa Urais. Ngoja tusubiri tuone maamuzi yao. Halafu kesho walikuwa wawe pamoja na Paul Ryan katika moja ya events za GOP. Sijui kama Ryan atakubali wawe pamoja naye.
Teh! teh, October surprise indeed..lol!
Naona kama wameliwa timing hawa. Halafu huyo mwanamke aliyekuwa anamuongelea hivyo ni mke wa mtu. Haki Trump!
Naona Republicans wamefura, Romney na Bush W. wametoa neno.