2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

I feel dizzy from watching this I. Its going in so many directions my head is spinning. None of them comes off being coherent, which is really bad on Hillary. The onus was on her to come off as the adult here because we know Trump is just a raving lunatic.

She has settled down though, but boy did she have a bad beginning.
 
I just can't follow.

They are all over the place.
 
Debate imepooza kwangu mimi, imekuwa ''manage'' na ''mangi-meza'' wa ''vyombo-nyuma-ya pazi'' waliotaka nini kiongelewe.
 
Halafu Lester Holt mbona kama anambana zaidi Trump?

Hiyo nayo si nzuri. Watu wanaweza ku perceive kama vile anapendelea upande mmoja.
 
Huyu Trump hamna kitu kabisa, sasa hivi anaimba Sean Hannity!

Halafu hebu ngoja kwanza....mbona naona kama Trump ka dominate muda wa kuongea?

Hahahaaaa hili lijamaa bana.

Usishangae kesho na siku zijazo watu wakaliona kuwa ndo lilishinda debate.

Debate yenyewe hata haina mashiko.
 
....labda milioni 100 the first 10/15 mins wengi wameshahama Chanel, huyu host naye ni tatizo ameshindwa kuimudu hii debate.

I think his main job was to pose a question and let them be, lakini mihemko ya Trump inafanya aonekane kama yuko kimya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli aisee na huyu Trump ndivyo alivyo hata debates za nyuma alifanya hivyo, kuongea katika wakati ambapo si wake. Bado hizo denate mbili zilizobaki zina umuhimu mkubwa sana.

14470564_10154347979342911_1298311459014849394_n.png

I think his main job was to pose a question and let them be, lakini mihemko ya Trump inafanya aonekane kama yuko kimya.
 
She had her best moment on the foreign policy stuff especially when she reassured the world that they can rely on America under her leadership
 
Afadhali na wewe umeliona hilo.

Hata JFK nayo hivyo hivyo tu.

Ambayo angalau iko vizuri ni Atlanta's Hartsfield-Jackson....tena international terminal.

Domestic iko hovyo tu.
Viwanja hawana hawa. Labda ni ile hadithi ya kuendelea mwanzo maana viwanja vingi vizuri ni vile vilivyojengwa karne ya 21. Ni Kama nyumba za magomeni "kota" enzi zake sio mchezo vile.

Sababu nyingine, Marekani sio International flight hub kama ilivyo middle east so hawaoni any plausibility ya kuviendeleza zaidi.
 
Mwaka huu kwa kweli hakuna mgombea bora!

It's a race to the bottom.
 
I think his main job was to pose a question and let them be, lakini mihemko ya Trump inafanya aonekane kama yuko kimya.

Sawa lakini pia ni kazi yake kuhakishisha wagombea hawaingiliani
 
  • Thanks
Reactions: kui
Haha!, damn I heart Hillary, talkin' bout Stamina huh!

Her answers are just short but super clear.
 
Back
Top Bottom