BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #241
Sasa subiri spin doctors wa Trump watakavyombeba si ajabu hata yule gavana aliyetoa kauli kwamba kama DT asiposhinda basi Wamarekani wataamua kuingia mtaani na kuanzisha mtafaruku ataibuka tena kutoa kauli za vitisho. Na kwa maoni yangu hii debates inahitaji host wawili na si mmoja.
...hehehe, huyu ndo the Donald. 😀😀😀