2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

2016 ni mwaka wa kuacha Punyeto

Nimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.

Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.

Nimekuwa nikisikia punyeto ina madhara, namshukuru Mungu sijapata hayo madhara maana jogoo wangu yupo imara na kina dada ninawapa dozi stahiki. Kama madhara basi ni kuchelewa kupiga bao kwakuwa nimezoea mkono mgumu lakini mbunye ni laini japo kwangu sioni kama ni madhara kwani imenifanya niwe namfikisha mpenzi wangu.

Baada ya hiyo miaka kumi (decade) ya Punyeto hivi sasa nasema bye bye Punyeto, hatutaonana tena. 2016 ni mwaka wa kuacha punyeto na 2017 ni mwaka wa kuoa.

Utawala huu wa Magufuli huko ofisini kwa moto hata hamu ya kupiga punyeto sina tena.

Mungu ni mwema
Unamuachia nani ?
 
Daaaa me nimesanda kabisa mwaka huu tuu nilisema naacha lkn juzi nimekula nyeto hiii ni vita kali sana.... Inabidi maamuzi magumu.
Tatizo lenu mnataka kuacha mara moja. Hii kitu unaacha kwa hatua. Naweza kuelezea vizuri uzoefu wangu nilivyofanya mpaka nikashinda. Mtu umepiga nyeto tangu uko form two na leo una watoto halafu unaacha tu ghafla. No, it won't work. Otherwise utabakia tu kujiona guilty na kuumia kisaikolojia bure.
 
Nimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.

Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.

Nimekuwa nikisikia punyeto ina madhara, namshukuru Mungu sijapata hayo madhara maana jogoo wangu yupo imara na kina dada ninawapa dozi stahiki. Kama madhara basi ni kuchelewa kupiga bao kwakuwa nimezoea mkono mgumu lakini mbunye ni laini japo kwangu sioni kama ni madhara kwani imenifanya niwe namfikisha mpenzi wangu.

Baada ya hiyo miaka kumi (decade) ya Punyeto hivi sasa nasema bye bye Punyeto, hatutaonana tena. 2016 ni mwaka wa kuacha punyeto na 2017 ni mwaka wa kuoa.

Utawala huu wa Magufuli huko ofisini kwa moto hata hamu ya kupiga punyeto sina tena.

Mungu ni mwema
Ukisema unaacha sababu unaoa na umefnya kwa miaka yte hyo n ngumu...punyeto ni kma kutumia drugs Ili uache lazma ujiandae ki psychology tu.
 
Yuko wapi anayegombania Uenyekiti aje hapa alijuzuru nafasi inepatikana
 
ogopasana alosto ya hyo k2 ukitimiza mwaka 0-0 ni pm nnazawadiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom