penye walevi aikosi stori za kupoteza muda tena stori zenyewe ni za kilevi mbaya zaidi wanapokunywa pombe ya mnazi yenye asili ya tanga
Mmmmxxxxxxxxxxxxiiiiiiiiiiiuuuuuuuuhh anafaa kua raisi wa uko wako
Wewe kweli una akili finyu January ana uwezo gani wa kuwa raisi au ni hizo kelele anapiga hapo Bumbuli zinakutia nyege?
Bumbuli kwenyewe amepita kwa kulazimisha, walimfanyia unafiki mzee wa watu kumpa makamba. Bungeni zaidi ya kuwa kama bendera hakuna la zaidi analofanya zaidi ya kufuata upepo. Hajawahi kuwa na BALLS za kumnyooshea fisadi yoyote kidole au hata mtendaji mbovu. HAPO UMECHEMKA.
Ni nini hiki?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hakika kabisa anafaa kuwa rais wa ukoo wangu wa Tanzania, nawewe na ukoo wa kiarabu kama haumkubali rudi kwenu uarabuni tuachaeni na nchi yetu hii tuiponye kwa kupitia kijana mwenzetu January Makamba
Mtu aliyemsaliti Mungu wake na nafsi yake anaweza kuwa na familia kweli?!!!labda wale vimada wake
Suala la kodi za laini lilipitishwa na wabunge wote,waziri ni serikali,wabunge wanaisimamia serikali wabunge wetu waliona inafaa na kwa umoja wao wakapitisha,ila kijana ni mzalendo wa kweli na mpinga rushwa mkubwa mi nadhani inabidi tuzidi kumwamini na kumpa moyo ashawishike agombee urais,anafaa, atatufaa sana kwani ni kijana mwenye bidii na anatuma sana,tumsapoti ndiye kijana pekee kwa sasa alinayeweza kuiponya nchi hii na sio wazee,wametulostisha sana haoRafiki siyo vijana wa leo ,ambao wanachofikiria sicho wanacho kitenda.Ukumbuke Nyerere alikuwa Mzalendo na akisema hataki RUSHWA na sura yake inaonekana hivyo.Je huyo unayempigia debe ataweza kuikataa rushwa?Mpaka sasa hanuki rushwa?Ubunge wake alipata kihalali au kidogo ilikuwa ameongeza na chumvi?Je,ameitete nchi yake tukamuona anaitetea?Ni mara ngapi miswada hovyo inapitishwa bungeni ameishainua sura yake na kukataa tukamuona?Je si wizara yake iliyoongeza kodi kwa kila laini ya simu?Ameipingaje?Tusiweke sababu tu ni Mtoto wa aliyekuwa Katibu wa CCM basi ataweza,hebu tuache tufikiri OUT of the box.
Wewe unatuambia umasikini Baba yako kashindwa kubadili mwelekeo wakati akiwa na usemi ndani ya CCM leo unakuja na porojo zisizo na mashiko hapa?Hapo chini kwenye red inamaana unajua kabisa bosi wwwwwako Rais wako ameshindwa kuponya nchii kwani hii nchi inashikiliwa na chama pinzani au January Makamba anagombea kupitia chama kipya kinachoanzishwa??Inamaana anampinga Nnape maana tumeisha msikia anasema watakaojitangaza kabla ya wakati nikuwa wamejikosesha sifa??Makamba hawezi kuongoza nchi kama VODACOM,TIGO,AIRTEL Wanaibia watu nakila siku tunamtweet kashindwa kuwachukulia hatua ataweza kupambana na wauzaunga wezi wa pembe za ndovu??Jipange upya ndo uje bora ungesema babayake!!
Suala la kodi za laini lilipitishwa na wabunge wote,waziri ni serikali,wabunge wanaisimamia serikali wabunge wetu waliona inafaa na kwa umoja wao wakapitisha,ila kijana ni mzalendo wa kweli na mpinga rushwa mkubwa mi nadhani inabidi tuzidi kumwamini na kumpa moyo ashawishike agombee urais,anafaa, atatufaa sana kwani ni kijana mwenye bidii na anatuma sana,tumsapoti ndiye kijana pekee kwa sasa alinayeweza kuiponya nchi hii na sio wazee,wametulostisha sana hao
yaani January baada y kupita kugawa wali kwa vijana wa vyuo vikuu ameshajiona ana nafasi ya kupewa urais kwa vile vijana wako wengi? na mshauri asije akategemea wale vijana aliowapa wali vyuoni wengi hawana kadi za kupigia kura na maboresho ya daftari la kudumu ndio hivyo chenga kama pale mbeya alikuwa nao mtenda waliokuja wengi ni first years baada ya kudanganywa kuwa ni part ya welcome first year na organisation haikufanyika vyema kwa kujua ni party hata walioorganize walichaguana kwa upendeleoamekuahidi ukuu wa mkoa? hayo mawazo mfu hatuhitaji leo, january asubiri 2025, aonyeshe kwanza anafanya nn, hv ile bilioni alochukua kule barrick kwa kumuweka rehani dada yale alirudisha baada ya kunyimwa uwaziri wa nishati?
January Makamba ndio nani kwani?
January Makamba ndio nani kwani?
yaani January baada y kupita kugawa wali kwa vijana wa vyuo vikuu ameshajiona ana nafasi ya kupewa urais kwa vile vijana wako wengi? na mshauri asije akategemea wale vijana aliowapa wali vyuoni wengi hawana kadi za kupigia kura na maboresho ya daftari la kudumu ndio hivyo chenga kama pale mbeya alikuwa nao mtenda waliokuja wengi ni first years baada ya kudanganywa kuwa ni part ya welcome first year na organisation haikufanyika vyema kwa kujua ni party hata walioorganize walichaguana kwa upendeleo