2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

Naona kuna style imeibuka ,,.,ili uonekane umetoa hoja basi unajaza pages!poor you

Ukiona kijana anaota ndoto na ana mawazo ya kizee una kila sababu ya kuhoji uwezo wake wa kufikiri,nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri
 
Hakika aisee ndiye kijana pekee wa kuiponya nchi yetu hii

lowasa ni mgonjwa na Tanzania nia inaumwa kero za watanzania kama umeme, afya, maji na mambo kibao kwa hio tunahitaji kiongozi wa kiiponya Tanzania sio kuongeza ugonjwa juu ya ugonjwa
 
Ni mtu anae tufaa sana vijana tufaaa nchii hii ina umwa tayal sasa nywele nyeupe pi ni mgonjwa tuna taka alie na afya njema. J makamba atatufaa
 
Weka strength na weakness zake hapa halafu mjadala utanoga haswa tangu awe naibu waziri!!!!!!

Urais sio jasho kila anayesikia joto linamtoka!!!!

Hapo umenena ngoja tuweke nazo pia ili tuweze kumjenga kijana mwenzetu,rais wetu mtarajiwa
 
Kuna mikakati ya ndani inayofanywa na makada kutoka kanda ya ziwa (Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga) wakiungana na wenzao wa kanda ya magharibi (Tabora, Katavi, Rukwa na Kigoma) kutaka kuwa na mgombea wao na wanadai lazima apite kwani wanawapiga kura wengi hapo Januari hafurukuti wala Edo
 
vijana tuache kutumika ni muda wetu sasa.January Makamba anatosha sana hawa wazee tuwapumzishe sasa.
 
Mh! Yaleyale tunaona taasisi ya URAIS ni rahisi sana maana hata kuku aweza kuwa RAIS.Watanzania tuwe serious kwenye jambo hili tusiweke rehani nchi yetu.

Nchi imeshawekwa rehani kwa miongo kadhaa sasa nashangaa umegundua sasa ila nafasi bado tunayo kama vijana kumbuka Nyerere alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika na rais angali kijana na akafanye na kuandika mazuri mengi tu ambayo hadi leo tunayatumia kama reffence,hebu tumjenge kijana mwenzetu aiponye nchi hii jamani
 
Kuna mikakati ya ndani inayofanywa na makada kutoka kanda ya ziwa (Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga) wakiungana na wenzao wa kanda ya magharibi (Tabora, Katavi, Rukwa na Kigoma) kutaka kuwa na mgombea wao na wanadai lazima apite kwani wanawapiga kura wengi hapo Januari hafurukuti wala Edo
Hapana suala sio wao kuungana na kupitisha mgombea urais tunahitaji hapo sisi ni kupata kijana wa jamii ya January Makamba na pengine zaidi January Makamba mwenyewe kama kijana awe rais,so kama kuna kijana wanamjenga na kumwandaa ni safi kabisa lakini sana tumjenge kijana mwenzetu January Makamba kwani ndiye pekee wa kuiponya hii nchi ndugu
 
Hapana ni zamu ya vijana,wazee wameshatuonesha njia ya kupita tunachohitaji ni busara zao na ushauri tu kwa sasa hata Mungu anasema hivyo

Wewe ni kijana unaye ishi kwa shemeji yako! Then unataka kutuambia mambo ambayo shemeji yako anayo mwambia dada yako wakiwa chumbani. Tafuta vijana wa size zenu muambiane ujinga huu!
 
Nchi imeshawekwa rehani kwa miongo kadhaa sasa nashangaa umegundua sasa ila nafasi bado tunayo kama vijana kumbuka Nyerere alikuwa waziri mkuu wa Tanganyika na rais angali kijana na akafanye na kuandika mazuri mengi tu ambayo hadi leo tunayatumia kama reffence,hebu tumjenge kijana mwenzetu aiponye nchi hii jamani

Rafiki siyo vijana wa leo ,ambao wanachofikiria sicho wanacho kitenda.Ukumbuke Nyerere alikuwa Mzalendo na akisema hataki RUSHWA na sura yake inaonekana hivyo.Je huyo unayempigia debe ataweza kuikataa rushwa?Mpaka sasa hanuki rushwa?Ubunge wake alipata kihalali au kidogo ilikuwa ameongeza na chumvi?Je,ameitete nchi yake tukamuona anaitetea?Ni mara ngapi miswada hovyo inapitishwa bungeni ameishainua sura yake na kukataa tukamuona?Je si wizara yake iliyoongeza kodi kwa kila laini ya simu?Ameipingaje?Tusiweke sababu tu ni Mtoto wa aliyekuwa Katibu wa CCM basi ataweza,hebu tuache tufikiri OUT of the box.
 
Ni mtu anae tufaa sana vijana tufaaa nchii hii ina umwa tayal sasa nywele nyeupe pi ni mgonjwa tuna taka alie na afya njema. J makamba atatufaa

Naona vijana mwezetu wanataka kuongozwa na rais anayeongoza nchi akiwa hospitalini London, Ujerumani na Marekani kwa sababu kila baada ya wiki mbili lazima aka_attend clinic huko ya siku 1 hadi2
 
Wewe kweli una akili finyu January ana uwezo gani wa kuwa raisi au ni hizo kelele anapiga hapo Bumbuli zinakutia nyege?
Bumbuli kwenyewe amepita kwa kulazimisha, walimfanyia unafiki mzee wa watu kumpa makamba. Bungeni zaidi ya kuwa kama bendera hakuna la zaidi analofanya zaidi ya kufuata upepo. Hajawahi kuwa na BALLS za kumnyooshea fisadi yoyote kidole au hata mtendaji mbovu. HAPO UMECHEMKA.
 
Huyo january kwa ukomavu gani alionao wa kisiasa mpaka apewe mchi kama kuwa naibu waziri anagawa rushwa kila sehemu anayokwenda si kwenye boda boda si kwa UVCCM so hafai hata kuwa mbunge rushwa tu ndio imebeba mpaka hapo alipifika
 
nashangaa sna kijana gan mwenye mawazo yaliyo lemaa,tz hatuna vijana wa namna hii!!

Mmhhh,unaonekana una experience sana kama wale wazee, hivyo hauko tayari kujifunza mambo mapya na kujirekebisha, mimi ni kijana nina muda mwingi wa kujifunza na kujirekebisha pale ninapopotoka nadhani na hiyo hulka pia january Makamba anayo pole wewe unayeamini una mawazo makuu kumbe unaota kama mzee jifunze uweze kuona maono bora
 
Samahani mtoa hoja nipe angalau uzoefu wa huyu jamaa kisiasa,mafanikio yake kwenye uongozi wowote aliowahi kuwepo asije akaja kujifunza kwetu, lingine atutajie vyanzo vyake vya mapato.
 
ww mleta mada utakuwa ni januari,naona unajaribu kupima upepo wako hapa jamvini,ila ukweli hufai hata kuongoza familia yako sembuse kugombea urais



dr.slaa mpaka sasa anaongoza familia gani?
 
Back
Top Bottom