2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

amekuahidi ukuu wa mkoa? hayo mawazo mfu hatuhitaji leo, january asubiri 2025, aonyeshe kwanza anafanya nn, hv ile bilioni alochukua kule barrick kwa kumuweka rehani dada yale alirudisha baada ya kunyimwa uwaziri wa nishati?

Ukuu wa mkoa unakuja vipi,vijana inatupasa tuwe na national interest na pia kujikubali na kumkubali kijana mwenzako hata kwa alilofanya ili aweze kujengeka, pls hata kama wewe unaona maono kwa kijana mwenzio mwambie na mjenge kama inawezekana kama ambavyo inatakiwa hapa kumjenga kijana mwenzetu J. Makamba aje aiponye nchi yetu
 
Baba yake muislam mama yake Mkatoliki. Yeye muislam lakini kaoa Mluteri. Kwa changamoto za migawanyiko ya kidini zinazoanza kujitokeza nchini, huyu historia yake pekee ni onyesho na ishara kwamba Watanzania wa dini mbali mbali tunaweza kuishi pamoja Kwa Amani na upendo.

lakini ukiachilia mbali hilo pia kwa Viongozi ambao wanawania Urais kimyakimya sijaona msafi ni wazi watapita kwa Rushwa, na ubabe. Tunahitaji Rais Kijana ili awatazame vijana wenzie na watu wa rika zote kwa macho mawili.

Kwa muda mfupi ambao nimekuwa nikimuona huyu mtu namuona ndiye pekee kwa majirani zetu wa CCM anayeweza kuleta mapinduzi kwa nchi hii, labda afanyiwe fitna kama za hawa ndugu zetu
 
Ndugu wana jamvi wa Jf, leo nami nimeona niwasilishe sehemu ya mawazo na uhalisia wa mambo yalivyo katika maisha yetu kwa sasa. Nikiwa sehemu ya kundi kubwa (VIJANA) lenye maamuzi na hatma ya taifa letu na maisha ya baadae.
Ni hakika tumeshuhudia na kuona matukio makubwa na historia nyingi ndani ya nchi zikitokea, mfano kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri mkuu,Richmond, EPA, Dowans, Kikombe cha babu, Umeme wa mgao, Ujio wa rais Obama, Katiba Mpya n.k lakini mimi nimeguswa zaidi na historia zilizowekwa na itakayowekwa hivi punde na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na punde tu tumetoka kushuhudia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar, ndani ya miaka 50 ni mengi mazuri na mema serikali imejitahidi kufanya kwa wananchi wake kutokana viongozi walioshika madaraka. Lakini historia kubwa ninayoiwaza mimi ni ile tunayoenda kuifikia ya kutimiza miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzabar, miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 26/04/2014 sitaki kuzungumzia Muungano kwa kuwa nimeshatoa maoni yangu kwenye tume ya rasimu ya katiba mpya bali nataka vijana kwa pamoja tukiweka mbali maslahi ya vyama, ukabila,udini, ukanda na maslahi binafsi. Tujadili na tujiandae kisaikolojia hususan kuhusu kiongozi wa nchi, mkuu wan chi, rais mteule ajaye tutakuwa hatuna tofauti na wazee ambao fungu lao ni kuota ndoto (malengo mafupi) kama tukisema tusubiri hadi vyama vitangaze nani atagombea bali tutakuwa tunajidhihirisha kuwa sisi ni vijana wenye maono (malengo na mitazamo yote ya muda mfupi na mrefu) kwa kuanza kujadili mustabali wa maisha yetu ya baadae sasa. Ukweli ni kwamba maisha ni magumu na yanachangamoto nyingi sana hasa kwa sisi vijana, maisha yamekuwa ghali sana, umeme juu, ajira finyu na chache nk lakini kitu kizuri ni kwamba tunaweza kubadili hii hali ingawaje nchi yetu ni changa kwenye viwanda na teknolojia lakini ili limechangawia na kuwa na viongozi wanaoota ndoto ni dhahiri tunahitaji kupata mtu mwenye maono ili aiponye nchi yetu yenye kila aina ya rasilimali, tunahitaji kumpa kijana atakayeweza kutuunganisha na kutumikisha sehemu ambayo tutaweza kunufaika na utajiri tulionao wa maliasili,madini,maji na vijana kama nguvu kazi, tunahitaji kumpata kijana wa jamii ya January Makamba atupeleke kwenye nchi yetu ya maono, Tunamwitaji January Makamba aiponye nchi na ukoma wa umaskini, ajira, na usimamizi uliobora wa rasilimali zetu.
Mimi ni mkristo hivyo usoma sana biblia, Biblia inasema wazi “…na wana wenu waume kwa wakike watatabiri,wazee wenu wataota ndoto, na Vijana wenu wataona maono” Yoeli 2:28, na kama haitoshi Mungu alichagua viongozi vijana na wadogo kama Daudi, Gidion katika Waamuzi 6:15, Sauli katika Samweli 1&2, Pia Mussa alishindwa kufika nchi ya ahadi na Mungu akamchukua na nafasi yake akapewa kijana mdogo Joshua akawapeleka nchi ya ahadi wana Israeli sisemi kuwa wazee hawatufai la hasha bali hawawezi kutupeleka kwenye nchi ya maono, hawezi kutufikisha kwenye mafanikio kwa sababu wazee hawashauriki na hawakotayari kujifunza mambo mapya kwa sababu wanaamini na uzoefu wa kutosha na mbinu walizotumia kumng’oa mkololoni zinaweza kuung’oa umaskini na hali ya nhi ilivyo sasa. Hapa mimi simzungumzii mzee yule aliyehasi imani yake kwa starehe za dunia na kuisaliti nafsi yake kwa sababu ya uroho wa madaraka wala mzee wetu anayepita makanisani na msikitini kutukumbusha vijana tumtumikie Mungu, hakika mzee wangu anafanya kazi iliyo njema kama biblia inavyoelekeza kuwa wazee watawafundisha na kuwashauri vijana wao jinsi ya kuongoza na kuenenda katika njia iliyo safi na bora, naamini kabisa taji hiyo imewekwa kwa ajili yako na ningependa siku uwaambie waziwazi kuwa kuchangisha au kuchangia katika kazi ya Mungu ni wajibu wetu wote hasa vijana na wala haufanyi hivyo kwa sababu unaota kugombea urais bali unatuandaa vijana tuwe na tuone maono bora zaidi.
Pia ningependa kutoa rai kuwa vijana kwa umoja wetu tujaribu kuitumikia jamii yetu kwa nafasi mbalimbali na zaidi tusiache kuwatia moyo vijana mwenzetu ambao wanaona maono ya kuwa viongozi halikadhalika kuwaambia kijana mwenzangu unaweza kuwa kiongozi kwa nafasi hii, kama nami ninavyomshauri kijana mwenzangu, kaka yangu January Makamba boresha maono yako zaidi na zaidi uiponye nchi, uwe rais wetu 2015. January Makamba gombea Urais 2015

JANUARY MAKAMBA NI KIJANA PEKEE KWA SASA ANAYEWEZA KUIPONYA NCHI YETU:

Nawasilisha
Wewe unatuambia umasikini Baba yako kashindwa kubadili mwelekeo wakati akiwa na usemi ndani ya CCM leo unakuja na porojo zisizo na mashiko hapa?Hapo chini kwenye red inamaana unajua kabisa bosi wwwwwako Rais wako ameshindwa kuponya nchii kwani hii nchi inashikiliwa na chama pinzani au January Makamba anagombea kupitia chama kipya kinachoanzishwa??Inamaana anampinga Nnape maana tumeisha msikia anasema watakaojitangaza kabla ya wakati nikuwa wamejikosesha sifa??Makamba hawezi kuongoza nchi kama VODACOM,TIGO,AIRTEL Wanaibia watu nakila siku tunamtweet kashindwa kuwachukulia hatua ataweza kupambana na wauzaunga wezi wa pembe za ndovu??Jipange upya ndo uje bora ungesema babayake!!
 
Huo muda ulioutumia kuandika hiyo post afadhali ungeutumia na wanywa gongo wenzio kijiweni...!!
 
Kwa nafasi aliyonayo sasa hivo kafanya nini cha maana sana cha kumsaidia mtanzania mpaka tufikie kumuamini hivo? haya mahaba mnayoonesha kwa huyu mtu hayatofautiani ya yale aliyopewa j.k mwaka 2004/2005 matokeo yake ndio haya sasa.
 
Huyo january kwa ukomavu gani alionao wa kisiasa mpaka apewe mchi kama kuwa naibu waziri anagawa rushwa kila sehemu anayokwenda si kwenye boda boda si kwa UVCCM so hafai hata kuwa mbunge rushwa tu ndio imebeba mpaka hapo alipifika
Acha kupotosha umma, kama bodaboda jamaa amejitolea kama mdhamini tu kwa vijana wenzetu ambao sasa wamepata ajira zao huku wakilipa mkopo wa bodaboda zao, hakika jamaa anajua mahitaji ya vijana, anafahamu jinsi ya kutatua kero za wananchi, ni wazi kabisa huyu ndiye anayetufaa kuwa rais 2015,
 
Nimesoma post zote kwenye huu uzi nimegundua makatani hafai kabisa kwani watu wawili ndo mmeonekana kumuunga mkono kati ya wachangiaji kibao. Hafai kama hata wajitoa ubongo wa ccm wanamponda basi ujue huyo ni hasara tupu.
 
Wewe unatuambia umasikini Baba yako kashindwa kubadili mwelekeo wakati akiwa na usemi ndani ya CCM leo unakuja na porojo zisizo na mashiko hapa?Hapo chini kwenye red inamaana unajua kabisa bosi wwwwwako Rais wako ameshindwa kuponya nchii kwani hii nchi inashikiliwa na chama pinzani au January Makamba anagombea kupitia chama kipya kinachoanzishwa??Inamaana anampinga Nnape maana tumeisha msikia anasema watakaojitangaza kabla ya wakati nikuwa wamejikosesha sifa??Makamba hawezi kuongoza nchi kama VODACOM,TIGO,AIRTEL Wanaibia watu nakila siku tunamtweet kashindwa kuwachukulia hatua ataweza kupambana na wauzaunga wezi wa pembe za ndovu??Jipange upya ndo uje bora ungesema babayake!!

Hakika wewe ni kijana mwenye maono pia,ila inabidi uzidi kujifunza na kuboresha maono yako unafaa kabisa kuwa mwakilishi wa jimbo lolote hapa Tz,lakini ndugu yangu hata wewe usipopewa au kuwa mtu wa mwisho wa kufanya maamuzi huwezi sema chochote hata kama amemshauri mtu, ila nashukuru kwa kuwa umejenga kijana aweze kuwa bora zaidi,naaamini kijana Makamba bado ana muda wa kujifunza na kujirekebisha ila khs mzee Makamba nadhani anapumzika tu huku akiwa mshauri kwa jamii
 
penye walevi aikosi stori za kupoteza muda tena stori zenyewe ni za kilevi mbaya zaidi wanapokunywa pombe ya mnazi yenye asili ya tanga
 
Weka strength na weakness zake hapa halafu mjadala utanoga haswa tangu awe naibu waziri!!!!!!

Urais sio jasho kila anayesikia joto linamtoka!!!!

Makamba January ni kijana mwenye hofu ya Mungu, japo baba yake ni Muislam na mama yake Mkatoliki lakini pia mme wa mke mmoja ambae ni Mluteri kwa changamoto za migawanyiko ya udini zinazojitokeza nchini, huyu historia yake pekee ni oyesho na ishara kwamba Watanzania wote tunaweza kuishi pamoja kwa Amani na Upendo .
1.Amelelewa vizuri kisiasa,hana papara na ameijua vizuri sana system ya utendaji kazi serikalini kwa kufanya kazi ikulu kwa karibu sana na rais na kushuhudia jinsi serikali inavyoendeshwa. Pia amekaa katika baraza la Mawaziri kipindi chote alichokuwa ikulu na kuelewajinsi sera na mipango inavyotungwa na kutekelezwa na kusimamiwa.
2.Anaheshimika na kutambulika kimataifa, amepewa heshima na taasisi mbalimbali za kimataifa ikiwemo World Economic Forum ambapo ametuzwa kuwa Young Global Leader, Amechaguliwa pia na askofu Desmond Tutu wa South africa kuwa Tutu African leadership Fellow. Pia majuzi amepata tuzo nyingine ya 2013 Democracy Award kutoka National Democratic Institute ya Marekani, Anaheshimika kwa mabalozi anazungumza na kuelewaka kwenye hadhara za kimataifa.
3. Ubunifu wake na bidii yake jimboni kwake inaonekana wazi.
4. Ni mtu wa misimamo sana hasa kuhusu misingi na haki, Kazi yake kwenye kamati ya Nishati na Madini ilionekana wazi.
5.Sio fisadi ingawa zimefanyakika juhudi kubwa za kumchafua hadi hapa jF lakini matope yote hayakushika kwa sababu ni uongo
 
Ndugu wana jamvi wa Jf, leo nami nimeona niwasilishe sehemu ya mawazo na uhalisia wa mambo yalivyo katika maisha yetu kwa sasa. Nikiwa sehemu ya kundi kubwa (VIJANA) lenye maamuzi na hatma ya taifa letu na maisha ya baadae.
Ni hakika tumeshuhudia na kuona matukio makubwa na historia nyingi ndani ya nchi zikitokea, mfano kujiuzuru kwa aliyekuwa waziri mkuu,Richmond, EPA, Dowans, Kikombe cha babu, Umeme wa mgao, Ujio wa rais Obama, Katiba Mpya n.k lakini mimi nimeguswa zaidi na historia zilizowekwa na itakayowekwa hivi punde na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeshuhudia miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika na punde tu tumetoka kushuhudia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar, ndani ya miaka 50 ni mengi mazuri na mema serikali imejitahidi kufanya kwa wananchi wake kutokana viongozi walioshika madaraka. Lakini historia kubwa ninayoiwaza mimi ni ile tunayoenda kuifikia ya kutimiza miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzabar, miaka 50 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 26/04/2014 sitaki kuzungumzia Muungano kwa kuwa nimeshatoa maoni yangu kwenye tume ya rasimu ya katiba mpya bali nataka vijana kwa pamoja tukiweka mbali maslahi ya vyama, ukabila,udini, ukanda na maslahi binafsi. Tujadili na tujiandae kisaikolojia hususan kuhusu kiongozi wa nchi, mkuu wan chi, rais mteule ajaye tutakuwa hatuna tofauti na wazee ambao fungu lao ni kuota ndoto (malengo mafupi) kama tukisema tusubiri hadi vyama vitangaze nani atagombea bali tutakuwa tunajidhihirisha kuwa sisi ni vijana wenye maono (malengo na mitazamo yote ya muda mfupi na mrefu) kwa kuanza kujadili mustabali wa maisha yetu ya baadae sasa. Ukweli ni kwamba maisha ni magumu na yanachangamoto nyingi sana hasa kwa sisi vijana, maisha yamekuwa ghali sana, umeme juu, ajira finyu na chache nk lakini kitu kizuri ni kwamba tunaweza kubadili hii hali ingawaje nchi yetu ni changa kwenye viwanda na teknolojia lakini ili limechangawia na kuwa na viongozi wanaoota ndoto ni dhahiri tunahitaji kupata mtu mwenye maono ili aiponye nchi yetu yenye kila aina ya rasilimali, tunahitaji kumpa kijana atakayeweza kutuunganisha na kutumikisha sehemu ambayo tutaweza kunufaika na utajiri tulionao wa maliasili,madini,maji na vijana kama nguvu kazi, tunahitaji kumpata kijana wa jamii ya January Makamba atupeleke kwenye nchi yetu ya maono, Tunamwitaji January Makamba aiponye nchi na ukoma wa umaskini, ajira, na usimamizi uliobora wa rasilimali zetu.
Mimi ni mkristo hivyo usoma sana biblia, Biblia inasema wazi "…na wana wenu waume kwa wakike watatabiri,wazee wenu wataota ndoto, na Vijana wenu wataona maono" Yoeli 2:28, na kama haitoshi Mungu alichagua viongozi vijana na wadogo kama Daudi, Gidion katika Waamuzi 6:15, Sauli katika Samweli 1&2, Pia Mussa alishindwa kufika nchi ya ahadi na Mungu akamchukua na nafasi yake akapewa kijana mdogo Joshua akawapeleka nchi ya ahadi wana Israeli sisemi kuwa wazee hawatufai la hasha bali hawawezi kutupeleka kwenye nchi ya maono, hawezi kutufikisha kwenye mafanikio kwa sababu wazee hawashauriki na hawakotayari kujifunza mambo mapya kwa sababu wanaamini na uzoefu wa kutosha na mbinu walizotumia kumng'oa mkololoni zinaweza kuung'oa umaskini na hali ya nhi ilivyo sasa. Hapa mimi simzungumzii mzee yule aliyehasi imani yake kwa starehe za dunia na kuisaliti nafsi yake kwa sababu ya uroho wa madaraka wala mzee wetu anayepita makanisani na msikitini kutukumbusha vijana tumtumikie Mungu, hakika mzee wangu anafanya kazi iliyo njema kama biblia inavyoelekeza kuwa wazee watawafundisha na kuwashauri vijana wao jinsi ya kuongoza na kuenenda katika njia iliyo safi na bora, naamini kabisa taji hiyo imewekwa kwa ajili yako na ningependa siku uwaambie waziwazi kuwa kuchangisha au kuchangia katika kazi ya Mungu ni wajibu wetu wote hasa vijana na wala haufanyi hivyo kwa sababu unaota kugombea urais bali unatuandaa vijana tuwe na tuone maono bora zaidi.
Pia ningependa kutoa rai kuwa vijana kwa umoja wetu tujaribu kuitumikia jamii yetu kwa nafasi mbalimbali na zaidi tusiache kuwatia moyo vijana mwenzetu ambao wanaona maono ya kuwa viongozi halikadhalika kuwaambia kijana mwenzangu unaweza kuwa kiongozi kwa nafasi hii, kama nami ninavyomshauri kijana mwenzangu, kaka yangu January Makamba boresha maono yako zaidi na zaidi uiponye nchi, uwe rais wetu 2015. January Makamba gombea Urais 2015

JANUARY MAKAMBA NI KIJANA PEKEE KWA SASA ANAYEWEZA KUIPONYA NCHI YETU:

Nawasilisha
Makamba January ni kijana mwenye hofu ya Mungu, japo baba yake ni Muislam na mama yake Mkatoliki lakini pia mme wa mke mmoja ambae ni Mluteri kwa changamoto za migawanyiko ya udini zinazojitokeza nchini, huyu historia yake pekee ni oyesho na ishara kwamba Watanzania wote tunaweza kuishi pamoja kwa Amani na Upendo .
1.Amelelewa vizuri kisiasa,hana papara na ameijua vizuri sana system ya utendaji kazi serikalini kwa kufanya kazi ikulu kwa karibu sana na rais na kushuhudia jinsi serikali inavyoendeshwa. Pia amekaa katika baraza la Mawaziri kipindi chote alichokuwa ikulu na kuelewajinsi sera na mipango inavyotungwa na kutekelezwa na kusimamiwa.
2.Anaheshimika na kutambulika kimataifa, amepewa heshima na taasisi mbalimbali za kimataifa ikiwemo World Economic Forum ambapo ametuzwa kuwa Young Global Leader, Amechaguliwa pia na askofu Desmond Tutu wa South africa kuwa Tutu African leadership Fellow. Pia majuzi amepata tuzo nyingine ya 2013 Democracy Award kutoka National Democratic Institute ya Marekani, Anaheshimika kwa mabalozi anazungumza na kuelewaka kwenye hadhara za kimataifa.
3. Ubunifu wake na bidii yake jimboni kwake inaonekana wazi.
4. Ni mtu wa misimamo sana hasa kuhusu misingi na haki, Kazi yake kwenye kamati ya Nishati na Madini ilionekana wazi.
5.Sio fisadi ingawa zimefanyakika juhudi kubwa za kumchafua hadi hapa jF lakini matope yote hayakushika kwa sababu ni uongo​

​
 
Huo muda ulioutumia kuandika hiyo post afadhali ungeutumia na wanywa gongo wenzio kijiweni...!!

Inaonekana upo unakunywa gongo wewe, vijana inatupasa tujengane na tujifunze kujiamini,nijenge kama kijana mwenzio,nami nitakujenga hivyohivyo ili tuwe viongozi bora ila tuapate viongozi makini, tuzidi kumjenga Rais wetu wa 2015, Tuzidi kumjenga January Makamba kama rais mtarajiwa 2015
 
Wewe ni kijana unaye ishi kwa shemeji yako! Then unataka kutuambia mambo ambayo shemeji yako anayo mwambia dada yako wakiwa chumbani. Tafuta vijana wa size zenu muambiane ujinga huu!

kama kweli haya ndio mawazo ya kidijitari hakika wazee wetu wametulea katika lindi bovu la uwoga na uvivu wa kufikiri, we endelea kuishi kwa shemeji yako na andelea kumuheshimu shemeji yako sisi wenzio tunatangulia katika kuhoji na kutafakari mustakali wa maisha yetu ya sasa na baadae kwani vibabu haviwezi tena kutusaidia zaidi ya kucheza na wajukuu zao nyumbani wakiwa wanapumzika, tutawafuata kupata ushauri tu
 
Baba yake muislam mama yake Mkatoliki. Yeye muislam lakini kaoa Mluteri. Kwa changamoto za migawanyiko ya kidini zinazoanza kujitokeza nchini, huyu historia yake pekee ni onyesho na ishara kwamba Watanzania wa dini mbali mbali tunaweza kuishi pamoja Kwa Amani na upendo.

lakini ukiachilia mbali hilo pia kwa Viongozi ambao wanawania Urais kimyakimya sijaona msafi ni wazi watapita kwa Rushwa, na ubabe. Tunahitaji Rais Kijana ili awatazame vijana wenzie na watu wa rika zote kwa macho mawili.

Kwa muda mfupi ambao nimekuwa nikimuona huyu mtu namuona ndiye pekee kwa majirani zetu wa CCM anayeweza kuleta mapinduzi kwa nchi hii, labda afanyiwe fitna kama za hawa ndugu zetu

Tanzania udini hamna propadanda inaenezwa na hao hao washika nchi, mbona huku kwetu hamna utengano wa udini ambao nyie mnaoueneza.
 
Wewe kweli una akili finyu January ana uwezo gani wa kuwa raisi au ni hizo kelele anapiga hapo Bumbuli zinakutia nyege?
Bumbuli kwenyewe amepita kwa kulazimisha, walimfanyia unafiki mzee wa watu kumpa makamba. Bungeni zaidi ya kuwa kama bendera hakuna la zaidi analofanya zaidi ya kufuata upepo. Hajawahi kuwa na BALLS za kumnyooshea fisadi yoyote kidole au hata mtendaji mbovu. HAPO UMECHEMKA.

Huo ni upotoshaji ila hebu tumjenge kijana mwenzetu aisee ndiye pekee aliyeopo kuiponya hii nchi nyetu
 
Work online and earn up to $1100 guaranteed per week through telexfree.
Be free to call and ask how it operates!
0714443969

Tehe,tehe ever been paid that eeehe?!!!!!will dial ya # to get more that ila January makamba vijana huyu kijana mwenzetu atatufaa sana tukimwamini kumpa urais aiponye nchi yetu tajiri
 
Makamba January ni kijana mwenye hofu ya Mungu, japo baba yake ni Muislam na mama yake Mkatoliki lakini pia mme wa mke mmoja ambae ni Mluteri kwa changamoto za migawanyiko ya udini zinazojitokeza nchini, huyu historia yake pekee ni oyesho na ishara kwamba Watanzania wote tunaweza kuishi pamoja kwa Amani na Upendo .
1.Amelelewa vizuri kisiasa,hana papara na ameijua vizuri sana system ya utendaji kazi serikalini kwa kufanya kazi ikulu kwa karibu sana na rais na kushuhudia jinsi serikali inavyoendeshwa. Pia amekaa katika baraza la Mawaziri kipindi chote alichokuwa ikulu na kuelewajinsi sera na mipango inavyotungwa na kutekelezwa na kusimamiwa.
2.Anaheshimika na kutambulika kimataifa, amepewa heshima na taasisi mbalimbali za kimataifa ikiwemo World Economic Forum ambapo ametuzwa kuwa Young Global Leader, Amechaguliwa pia na askofu Desmond Tutu wa South africa kuwa Tutu African leadership Fellow. Pia majuzi amepata tuzo nyingine ya 2013 Democracy Award kutoka National Democratic Institute ya Marekani, Anaheshimika kwa mabalozi anazungumza na kuelewaka kwenye hadhara za kimataifa.
3. Ubunifu wake na bidii yake jimboni kwake inaonekana wazi.
4. Ni mtu wa misimamo sana hasa kuhusu misingi na haki, Kazi yake kwenye kamati ya Nishati na Madini ilionekana wazi.
5.Sio fisadi ingawa zimefanyakika juhudi kubwa za kumchafua hadi hapa jF lakini matope yote hayakushika kwa sababu ni uongo​

​

Naomba unielezee moja kwa moja maendeleo aliyofanya kiasi kwamba yamemgusa mtu moja kwa moja huko jimboni mwake.Je unaweza ukanipa status ya huduma ya afya,elimu,miundombinu ya maji kwenye jimbo la bumbuli.
 
dr.slaa mpaka sasa anaongoza familia gani?

Mtu aliyemsaliti Mungu wake na nafsi yake anaweza kuwa na familia kweli?!!!labda wale vimada wake
 
Back
Top Bottom