2015 mbali sana jamani!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Maisha ni magumu sana, ukiangalia mbali ndio unachoka kabisa. huu ugumu kwa asilimia kubwa unasababishwa na viongozi wetu wa siasa tulionao sasa. Jamani naona 2015 mbali sana, tutafika kweli, tuwang'oe nadhani nimeshawachoka kupita kiasi!!, miaka mitatu iliyobaki naona kama miaka 100!!, duh!!!.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Si mbali sana, tutawang'oa tu. lakini jinsi watz tulivyokuwa ........ tutawarudisha hao hao.
 
Ninavyochukia cheat-chit-chat halafu ndio mmeamishia huku. nakula zangu kona mie. Loh!! na-sign-out.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom