2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

Nakuhakikishia watakuwa hawasikiki tena mwaka huo.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Teh teh teh kumbe Rejao anataka..........duh hongera Kaitampunu kwa Intelijensia ya kuwabaini wanaotaka kuwekwa
 
Wao wana dola na sisi tuna Mungu, 2015 ni dhahili CDM itakua madarakani.,M4C forever...
Peopleeeeeeeesssssssss...............

Hakuna Mtu asiye na MUNGU wewe wote watu ni wa MUNGU usimkufuru MUNGU kwa kuwaumba wote kwa mfano wake.
 
Back
Top Bottom