2014

2014

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Natangaza rasmi na kumshukuru Mungu kwa kunipa mwaka 2014 kama mwaka wangu wa kuzaa mema na neema kubwa isiyo kuwa na kifani. Hasante Mungu kwa kunipa mwaka 2014 nitakaojipatia mke mwema na kuimarika zaidi kiuchumi. Amen
 
Ameen na iwe hivyo kwako. Nami pia namwomba Mungu anijalie neema mwaka huu 2014. Aniinue kutoka kiuchumi na kunipa hekima katika kufanya mambo. Anipe wa ubavu wangu. Ameeen!
 
naiwe kama ulivyo amin.hapo kwenye mke usitunyime kadi jaman.
 
Back
Top Bottom