2013 NBA Playoffs

2013 NBA Playoffs

Dah basi tena hii ngoma Game 7 Miami kabeba agh!
 
Ingekuwa Soka game lingekuwa limeshaisha zamaniii. kila mchezo una raha yake.
 
Dah basi tena hii ngoma Game 7 Miami kabeba agh!

Hey you can look it this way( kiconspiracy zaidi) Kobe ndo kaisha, Lebron ndo face ya NBA, NBA lazima watengeneze pesa.
 
Ingekuwa Soka game lingekuwa limeshaisha zamaniii. kila mchezo una raha yake.
NBA 4thQ ni ugonjwa wa Moyo tu mtu kupata kama ni Fan wa ukweli wa moja ya hizo timu. 4Q sikuzote mkipishana kwa 2 au 3 Presha tu labda uwe na Jordan au Kobe.
 
Ni Kweli Kabisa Lebron ndio Face ya NBA ss hivi ila Leo Green naona kawa Yellow!
 
Mchezo wa kupokezana vijiti unaendelea
 
Haiya, naona Manu anatembea na mpira hatua kama 4 bila kudribble na refa anapeta/
 
Hate Him or Love Him heshima yake Lebron lazima tumpe dah na Miami inaonyesha Miller akipata nafasi ya 3 huwa wanashinda leo tumenyweeeeeea wengine dah kazi kweli kweli.
 
Haiya, naona Manu anatembea na mpira hatua kama 4 bila kudribble na refa anapeta/

Manu kafanyiwa faulo, green kafanyiwa faulo na refa kapeta, ama kweli 'amlipaye mpiga zumari ndio huchagua wimbo'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom