Mkuu Nguruvi3 .......yaani nimecheka sana baada ya kuona maoni yako hapo juu.....kwa kifupi leo sikwenda kupiga boksi.......kwani South Beach kulichanganya ile mbaya.......Wape Heat Credit Mkuu.......kweli unaweza kudhani CB anatoka kapa kwenye mchezo kama ile game 7??!!.......ile strategy ilikuwa kali.......all that been said......game iliyonisisimua zaidi ilikuwa game 6.......na kuona CB akishirikiana vema na RA kuiwezesha Heat!........Jana mwendo ilikuwa vijiko na vikaangizo pamoja na mambo kama hayahttps://www.youtube.com/watch?v=eSQCUdi4PlQ......hapo unaambiwa furahia maisha Mkuu......
Last edited by a moderator: