Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,743
bado arifu.....wait si unaona gamw inavyokwenda....Spurs walishakosea tangu game 4. Tusubiri tu kuwaona Miami watakavyotuumiza nyoyo zetu..
bado arifu.....wait si unaona gamw inavyokwenda....Spurs walishakosea tangu game 4. Tusubiri tu kuwaona Miami watakavyotuumiza nyoyo zetu..
Spurs walishakosea tangu game 4. Tusubiri tu kuwaona Miami watakavyotuumiza nyoyo zetu..
mmeamka ??Dakika tatu za mwisho Miami atapaa na Spurs hataweza kurudi!!!
James ni MVP wa finals mpaka dakika hii.
bingwa spurs amini usiamini.....Spurs WARIE tu!!! Wasubiri msimu ujao 2013/2014
game bado mbichi arifu......bingwa spursSpurs walikosea sana game 6, leo hakuna matumaini.
Naiskitika sana.