Mhhhh! I did not see this coming.
Game 1 Da Bulls 93 Miami Heat 86
Very impressive win
Da bulls lead series 1-0
Severely short handed Bulls at that....
Rose - out
Deng - out
Hinrich - out
Nilidhani Miami Heat watawasweep Da bulls, Miami wasipokuwa extra careful wanaweza kuadhirika na kufunga virago katika raundi ya pili ya playoffs kitu ambacho wapenzi wengi wa BB hawakukitegemea.
Miami wana Ray allen mzee wa point tatu na ndio mleta ushindi kumbuka hata alipokuwa Boston kwa game 2 ilivyokuwa sioni kama Bulls wanatoboa game 3Mazee uliona gemu.......jinsi jamaa walivyowaunguza "Da Bulls"......1-1 duuh....lile lijamaaa bana i.e King James....lol
Mazee uliona gemu.......jinsi jamaa walivyowaunguza "Da Bulls"......1-1 duuh....lile lijamaaa bana i.e King James....lol
SIoni kama bulls wataingia final
BAK Nyani Ngabu shabani madobe Belo ........"mmewadeki" ....Ze HEAT leooo......yaani Da Bulls utafikiri walimwagiwa maji........
Ngoja nimuangalie kijana Thabit leo......kaingia visekunde vichache kum-replace Durant first quarter...jamaa wanamminyia ile mbaya......