2013 NBA Playoffs

2013 NBA Playoffs

Nikalale zangu mie maana hii game ishakula kwetu!
. Hata mie Bora nikalale tu I hope nikiamka nione maajabu kama lasttime teh-Teh, Lebron amshukuru Charlmers leo wangefungwa leo Media zingemuandama kama nyuki hata kama muda mwengine sio kosa lake.
 
Unassailable 24 pt lead..teh teh teh/
Teh teh dah wale wa 3 miller na Allen ss ndio wanafanya furaha yao nikalale mie kurudi hapo hata kuwe Jordan enzi zake 3 na Kobe 2 na Shaq mmoja na waachiwe hawarudi InshaAllah tutaonana Game 3.
 
Miami wakileta legelege kama kwenye gemu ya kwanza..Spurs watachukua hii kitu....
 
Miami wakileta legelege kama kwenye gemu ya kwanza..Spurs watachukua hii kitu....

piga piga vibabu vile.......dadeki!!............wanafikiri bonanza hizi!!????

am soooooooo happy,nimempuna dogo mmoja hela hivi hivi walahi!
 
Blazakaka kaanza kuchonga baada ya kushinda match moja tu!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1370853277.731659.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1370853277.731659.jpg
    84.3 KB · Views: 57
San Antonio waonyeshe hao Heat game of basketball, Wanamuachia sana Mnigeria wa Kimarekani Wade Mzee wa Sifa leo zikikubali 3 za Manu na Green na Duncan na parker wafanye kweli Basi Twitter ya Wade itakuwa Zzzzzzzz!!
 
San Antonio waonyeshe hao Heat game of basketball, Wanamuachia sana Mnigeria wa Kimarekani Wade Mzee wa Sifa leo zikikubali 3 za Manu na Green na Duncan na parker wafanye kweli Basi Twitter ya Wade itakuwa Zzzzzzzz!!

Wade Mnaija?
 
Wade Mnaija?
Hapana nimesema tu sababu Wamarekani Weusi wengiwao Asili zao ni West African na White American Asili zao Europian ila inawezekana akawa na Damu ya Kinigeria Wade ni good player ila nataka Spurs wachukue leo naona Mzee Abdulhalim kajificha.
 
mmmh hiki kichapo cha leo.....heat needs miracle in 4th qrter to win........
 
Kati ya Green na Neal hata sijui nani katungua 3-pointers nyingi kumzidi mwenzie.
 
Tim Duncan, who had 12 points and 14
rebounds: “We've both answered the losses very
well, but not answered the wins very well."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom