2013 NBA Playoffs

2013 NBA Playoffs

Hii series ni ngumu sana kwa heat, maana spurs ndio mwenye home court advantage na series zote heat anashindia home game...

Leo Heat amefungwa nyumbani kwake na akijichanganya tu aka loose na game 2 tena kwake, series itakuwa imeshaisha maana sizani kama ataenda ku survive game 4 zote zitazopigwa texas
 
miami ndio mwenye home court advantage..... lkn kwa kufungwa leo kaipoteza.....game 4 zinachezwa miami 3 zinachezwa san antonio......miami lazima aibe game at least moja away.......
 
miami ndio mwenye home court advantage..... lkn kwa kufungwa leo kaipoteza.....game 4 zinachezwa miami 3 zinachezwa san antonio......miami lazima aibe game at least moja away.......

Tony Parker ametajwa mara 1303 per HRS...
Wakati Lebron James ametajwa mara 629 per HRS...
Uzee wa Sokwe ni tofauti na ujana wa Nyani.
Go Spurs Go...
 
Tony Parker ametajwa mara 1303 per HRS...
Wakati Lebron James ametajwa mara 629 per HRS...
Uzee wa Sokwe ni tofauti na ujana wa Nyani.
Go Spurs Go...

Hahahahahahahaaaa, kweli uzee wa sokwe noma na Ukubwa dawa,
Heat wauza sura tu wale, Dwayne Wade alipotea mazima jana na bado Tim Duncan hakucheza kwenye kiwango chake, come sunday hawa wauza sura wataijua tu tofauti kati ya nyani na sokwe!
 
Kwa nini mara nyingi Heat huwa wanapoteza game 1
Hata Mie najiuliza Kama wewe mkuu, Miami heat wakipoteza na ya pili ujue wasahau , Spurs nitimu yenye nizamu sana wana Coach mzoefu na Duncan hata afunge macho anamjua Parker wapi ampe maziwa na Parker anajuwa wapi kuna maji asijekuyaoga anaruka tu ila kuna player wachache wakipigwa game 1 hurudi kwa moto ni Jordan then Kobe na Lebron mmoja wao tuone itakuwa je?
 
Mnaowapondea el Heat mjue kua kipindi kirefu tu hadi Q3 walikua wakiongoza na ubabu wa Spurs sio ishu maana el Heat kuna wababu akina Wade, Allen etc na wanauezo wa kubadili matokeo. Spurs ni wazuri kwa "D" na offense pia ya babu Parker na Manuu lakini pia el Heat ni wazuri kwa 3 na wakiwa wajanja na Le Bron akiacha ubinafsi, Spurs wanaondoka kilaini kabisa. Nilichoona ktk game 1 ni kwamba el Heat walipoteana na Spoeltra alishindwa afanye nini na pia uchovu wa series iliopita huenda ulichangia. Baada ya game 2 tuje tena tujadili, sasa hivi ni mapema sana kutabiri mshindi/
 
Babu Parker rahaa tu, Green leo anachoma tatu tatu tu
 
Spurs waanze kupiga zile 3 tatu na ka charlmer wakazuie hapa Parker na Manu wakiamka ndio patakuwa patamu Spurs waonyeshe HEAT Basic Basketball inavyochezwa hakuna kuremba.
 
Spurs waanze kupiga zile 3 tatu na ka charlmer wakazuie hapa Parker na Manu wakiamka ndio patakuwa patamu Spurs waonyeshe HEAT Basic Basketball inavyochezwa hakuna kuremba.
Kaka inaonesha huikubali kabisa Miami, hata wakimzuia Chalmers yupo Ray Ray atachoma tu 3.
 
Spurs waanze kupiga zile 3 tatu na ka charlmer wakazuie hapa Parker na Manu wakiamka ndio patakuwa patamu Spurs waonyeshe HEAT Basic Basketball inavyochezwa hakuna kuremba.

Green kakuitikia Mkuu!
 
Kaka inaonesha huikubali kabisa Miami, hata wakimzuia Chalmers yupo Ray Ray atachoma tu 3.

Sio Siikubali naikubali ila Miami Heat Lebron mkali ila Egos inapita kichogo hasa akianza kucheza peke yao yeye na Wade kama mpira watakuwa wanaitoa pembeni Allen na Miller wakachoma Game watashinda ila wakitaka kufikiria ni Allstar Game ya Dunk ujue wazee wa Basic Basketball Spurs hawajaanza juzi wanaijua Ramani ya Final kama Mjerumani anavyoijua Ramani ya Tanzania mafuta yapo wapi na wapi waliyoyafunika wakati wanaiachia Nchi.
 
Hata mie naona leo Bosh na Wade Game zimewakubali Muhimu sana kwa Miami ni Bosh na Bench liwakubali ila Manu na Parker wakiamka tu Miami kumeumia labda Lebron acharuke.
 
Mh Mpira umeanza kuwa wa Moto Miami leo charlmers kahaidiwa Mademu South Beach wa Kilatino! Kazi ipo.
 
Tim Duncan game imemkataa, anambwelambwela tu humo ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom