2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

happy new year to u lara 1 na wana MMU wote....lov u guyz!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kubwa la maadui umesomeka kama kawa!
Kuna watu nimewaona washaweka ushamba wao mifukoni.
 
I salute you mamito lara 1.... Hasa aya ya mwisho....

Mie kwa upande wangu huwa siitegemei jamii hata kidogo. Ukiitazama jamii inasema / itasema nini hufanikiwi :lol:
 
Last edited by a moderator:
haaaaaa ngoja nikamfungukie mtoto mzuri yule...daaah napiga nae stori tu kizushi nisije angukia friends zone...bureeeee.....kama vipi vipi tuuuuuuuu.......alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh
 
Ngoja nianze kula ndimu ku ji shape nirudi sokoni lazima nitampata tu dada humu mmu
 
Back
Top Bottom