scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 900
Tehmgomo wa 10000
watu walirusha chupa kwenye msafara wa kawambwa ffu walitembeza mabomu
niliumia kidole hadi leo kicha aioti vizuri
wale wahuni walirusha hadi moto ukawaka maeneo ya COET
nilikuwa 100% ya huo mgomo ulipoanza hadi kuisha
Maisha ya chuo we acha tu.Nilikupenda Mabibo hostel si mchezoππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ
Mshukuru Mungu kama ndoto zako zilitimia,haijalishi wapi ulikopata elimu yako ya chuo.Hapana baadhi tulisamehewa tukaambiwa turudi pale tuanze moja kwani tulifuata mkumbo tu ila mimi wazee walikataa hawakutaka nisome tena udsm
Bila vile Mkuu,wengi waliokamatwa pale walisimamishwa Chuo,tulienda kuingia kwenye nyumba ya mtu bila hodi tukiwa mimi na wadada wawili, yule mama mwenye nyumba alituonea huruma akafunga mlangoππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ
nilipita hapo juzi kati kumeota kichaka kikubwa..hahahah unafikiri historia yenu itafutika pale??Kusema kweli ule ujinga siwezi fanya tena kipindi kile nilikua na misimamo ya kipuuzi sana,mwisho wa siku nimekuja kusoma chuo kingine bila mkopo na mzigo wote nikawabebesha wazazi wangu
Ila rev square ni jukwaa ambalo ulitakiwa liendelezwe hadi kesho
Mimi mwenyewe pia nilikaribishwa na na wenye nyumba vile vile.Sikuona sababu ya polisi kutupiga mabomu ya machozi.walituambia tukae chini,tulitii amri yao.Sifahamu nini kilitokea.Bila vile Mkuu,wengi waliokamatwa pale walisimamishwa Chuo,tulienda kuingia kwenye nyumba ya mtu bila hodi tukiwa mimi na wadada wawili, yule mama mwenye nyumba alituonea huruma akafunga mlango
block gan ulikaaM Maisha ya chuo we acha tu.Nilikupenda Mabibo hostel si mchezo
Ila niimani yangu utakuwa umemaliza na maisha yanaendea kama kawaida MkuuHapana baadhi tulisamehewa tukaambiwa turudi pale tuanze moja kwani tulifuata mkumbo tu ila mimi wazee walikataa hawakutaka nisome tena udsm
Muwe mnatuamkia wakubwa zenu humu[emoji134][emoji134][emoji134]
Duuh aisee, sisi tulikimbia ila tulipopita wengi waliokuwa mbele waliumia kwasababu ya fensiMimi mwenyewe pia nilikaribishwa na na wenye nyumba vile vile.Sikuona sababu ya polisi kutupiga mabomu ya machozi.walituambia tukae chini,tulitii amri yao.Sifahamu nini kilitokea.
Nilianza na C,nikamalizia Dblock gan ulikaa
ni 2010_2013?
HakikaIla niimani yangu utakuwa umemaliza na maisha yanaendea kama kawaida Mkuu
Lakini,hakika historia yetu wanayoDuuh aisee, sisi tulikimbia ila tulipopita wengi waliokuwa mbele waliumia kwasababu ya fensi
Ndio mkuu nilianza upya wakati pale nilikua nimebakiza mwaka mmoja kumalizaIla niimani yangu utakuwa umemaliza na maisha yanaendea kama kawaida Mkuu
NikweliLakini,hakika historia yetu wanayo
2010_2013Nilianza na C,nikamalizia D
Ameen, nichangamoto tu mkuuNdio mkuu nilianza upya wakati pale nilikua nimebakiza mwaka mmoja kumaliza
Ila nilikoanza nilimaliza salama
Yani kipindi hichi wadogo zetu wasijaribu wanaweza hata kupata ukilema wa maishanilipita hapo juzi kati kumeota kichaka kikubwa..hahahah unafikiri historia yenu itafutika pale??
ni kama historia ya kina ODWANG ambayo kila anaeingia pale anaikuta
tena kipindi hichi cha Magu hamna atakaedhubutu
Barikiwa sana.Hakika uthubutu wenu ulileta matunda,japo si kwenu.Ndio mkuu nilianza upya wakati pale nilikua nimebakiza mwaka mmoja kumaliza
Ila nilikoanza nilimaliza salama
ππππππππYani kipindi hichi wadogo zetu wasijaribu wanaweza hata kupata ukilema wa maisha
Kipigo chake ni chakuchakaza[emoji23]