2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

mgomo wa 10000
watu walirusha chupa kwenye msafara wa kawambwa ffu walitembeza mabomu
niliumia kidole hadi leo kicha aioti vizuri
wale wahuni walirusha hadi moto ukawaka maeneo ya COET
nilikuwa 100% ya huo mgomo ulipoanza hadi kuisha
Hahaha halafu kama sijakosea huo mgomo watu wa COET kama vile walijitenga navyokumbuka ni kama vile walifunga geti lao ngwini wasiingie mule hahaha
 
Kinachoniuma ni kuwapoteza course mates wetu,akiwepo Alshabab.
na viongozi kibao aiseee wa CONAS mi ndo nawakumbuka hadi leo
wakati nishamaliza ndo nasikia wingine walirudi kuanza 1st year
 
Anyway.. wacha tuamini tu. Mi najua 2011 ulikua olevel kama sio advance
 
Hapana mkuu.Wale akina Alshabab na yule mrefu wa mwanzo waliofukuzwa,walikuwa ni course mates kwenye College of Arts and Social sciences.
 
Hahaha halafu kama sijakosea huo mgomo watu wa COET kama vile walijitenga navyokumbuka ni kama vile walifunga geti lao ngwini wasiingie mule hahaha
sina kumbukumbu vizuri lakini mgomo wa 10000 ulikuwa mzito ndo pesa ikapanda mpaka leo 7500 imegota hapo sijui kama imeongezeka
 
Hapana mkuu.Wale akina Alshabab na yule mrefu wa mwanzo waliofukuzwa,walikuwa ni course mates kwenye College of Arts and Social sciences.
unamkumbuka yule aliyeandamana mwenyewe jina ni chacha kama sikosei
 
sina kumbukumbu vizuri lakini mgomo wa 10000 ulikuwa mzito ndo pesa ikapanda mpaka leo 7500 imegota hapo sijui kama imeongezeka
Ni kweli mkuu.COeT kwenye mgomo mara nyingi walikuwa si washirika wazuri
 
Ni kweli mkuu.COeT kwenye mgomo mara nyingi walikuwa si washirika wazuri
ila kuna mgomo wao mwanafunzi alifukuzwa walilazimisha watu wagome wakagoma wenyewe na yule mwanafunzi hakurudishwa ukaishia juu juu tu
 
mpaka walikuja kuomba michango maana boom walikatiwa na wengine walisota humo jela midhamana ilizingua
Duuuuuuuuu.We acha Alshabab alikuwa anajilazimisha kuongea kama mzungu kwa ulimi kuupeleka kooni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaani kwenye theatre ni full burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…