2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

Aisee nadhani huu mgomo ndo ule hadi alikuja waziri kawambwa aisee watu walishuka mpaka kuke kwenye swimming pool jamaa yule Laizer akaanza kumuita "Kawambwaaa Kawambwaaa Kawambwaa" nimekuita mara tatu kama isingelikua Nyerere usingesoma bure, aisee baadae nakumbuka polisi wanaondoka wakaanza ku4ushiwa makopo na mawe na kuitwa form 4 failure aisee mbio zilitimuka siku ile sitasahau nimefika Hall 1 ikabidi njegere zote zikaharishwe hahahaha...ila ilisaidia boom likawa 7500 badala ya 5000 nilienjoy sana kwa kweli daaah...ila maumivu ya bodi nayasikilizia sasa hivi hatari tupu...
 
Nilinusulika = nilinusurika

Hicho chuo ulienda kusomea ujinga?
 
Revolution Square siku hizi wametia senyenge pale huwezi hata kupanda juu
 
Tulikuwanae pia kwenye literature.Alikuwa CASS.
 
Yani ilifika hatua kwamba kama hautaki chuo ukipanda tu pale Revo Square hata kama hujasema kitu jina laki linapelekwa utawala unakua huna chuo
Nyoka walimwagwa wengi sana aisee
 
Dah...huo mgomo ulifanya watu kua wanariadha kwa lazima. Nakumbuka tukiwa gate maji tukaamriwa kurudi nyuma tukajidai tumekaza, zikapigwa tear gas watu walitafutana sana kukimbilia COET na wengine sehemu tofauti tofauti.. Hao wanaharakati walikua na uwezo wa juu mno ku-convice na kuteka akili za watu. Watu walikua wako radhi mvua iwanyeshee pale Rev square kusikiliza nondo za hao jamaa....missing you muuuuuch UDSM.
 
mgomo wa 10000
watu walirusha chupa kwenye msafara wa kawambwa ffu walitembeza mabomu
niliumia kidole hadi leo kicha aioti vizuri
wale wahuni walirusha hadi moto ukawaka maeneo ya COET
nilikuwa 100% ya huo mgomo ulipoanza hadi kuisha
 
Yani ilifika hatua kwamba kama hautaki chuo ukipanda tu pale Revo Square hata kama hujasema kitu jina laki linapelekwa utawala unakua huna chuo
Duuu.Ni shidaaa.Hakika kwa sasa hatuna tena vyuo.Unakumbuka mabomu ya Mlimani City kwenye harakati ya kwenda ikulu?.Kwa kifupi,CASS ilipoteza wawili.Hao wote tulikuwa nao kwenye literature.
 
Hakika mkuu
 
Duuu.Ni shidaaa.Hakika kwa sasa hatuna tena vyuo.Unakumbuka mabomu ya Mlimani City kwenye harakati ya kwenda ikulu?.Kwa kifupi,CASS ilipoteza wawili.Hao wote tulikuwa nao kwenye literature.
Sie darasani kwetu jamaa wawili waliwasimamisha masomo wakaja kurudi chuo sie tupo mwaka wa mwisho, yani mkuu baada ya mbio zile za kutoka kule kwenye swimming pool ukichungulia nje unaiona land cruiser ya polisi ilee inafanya doria..hao jamaa wawili walifariki au?
 
Kipindi hicho shule nyingi zilikuwa zinakabiliwa na baa la njaa, kama kumbukumbu ziko sawa kipindi hicho wazabuni waligoma kwa sababu serikali ilikuwa haijawalipa kwa muda mrefu, baadhi ya shule zilifikia hatua ya kufungwa kwa ukosefu wa chakula
Mbona bavicha wanasema kipindi cha jk maisha yalikuwa rahisi sana na pesa bwerere tu?
 
unajua kilichosababisha siku zile ffu wapige mabomu
ni baada ya s.kawambwa kuja na kuleta stori nyingi watu huku nyuma wanaitikia TUNATAKA 10000 tu
yeye anakuja na story kwamba ashafundishaga COET watu hawamuelewi
basi akaondoka wakati anaomdoka wanafunzi wakaanza kurusha chupa za maji pamoja na mawe kwenye msafara wa waziri ndo wale jamaa kuturudia na kupiga mabomu
japo huo mgomo ulikuwa kwa siku kadhaa nyuma

.....kuna mwingine wa COET tena sijui mwanafunzi alifukuzwa baada ya kukutwa anachit kwenye mtihani na stir mob hapo kati then COET nao wakaamsha huko
 
mgomo wa 10000
watu walirusha chupa kwenye msafara wa kawambwa ffu walitembeza mabomu
niliumia kidole hadi leo kicha aioti vizuri
wale wahuni walirusha hadi moto ukawaka maeneo ya COET
nilikuwa 100% ya huo mgomo ulipoanza hadi kuisha
Kinachoniuma ni kuwapoteza course mates wetu,akiwepo Alshabab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…