Mi hata simfahamu bro..Nimekuwa tu interested kujua..Sometimes kwenye maisha kuna watu wanajitoa muhanga kwa manufaa ya watu wengine lakini mwisho wa siku wanakuja kubezwa na watu haohao aliowasaidia..Al shabab na kale kamwil kake kadogo...
mjingamimi wewe umesoma chuo gan? Au ndo unga unga mwanaNa wenzio waliosoma 1970-1974 wakuiteje?
Na wapo humu wanakucheki TU.
mjingamimi wewe umesoma chuo gan? Au ndo unga unga mwana
Ni kweli mkuu. Infact kama kuna watu walio andika historia ya kuongezewa pesa ni hawa jamaa akiwepo al shabab.Mi hata simfahamu bro..Nimekuwa tu interested kujua..Sometimes kwenye maisha kuna watu wanajitoa muhanga kwa manufaa ya watu wengine lakini mwisho wa siku wanakuja kubezwa na watu haohao aliowasaidia..
Suala la kuongezewa pesa kutoka 5,000 hadi 7,500 ni mgomo ulioongozwa na kina Mwita. Ule mgomo wa kina Alshabab labda waliongeza kwenye mambo mengine lakini sio boomNi kweli mkuu. Infact kama kuna watu walio andika historia ya kuongezewa pesa ni hawa jamaa akiwepo al shabab.
Ukiacha wale arobain na ngapi waliokamatwa wengi walirud chuo na wengine kuruhusiwa kuaplay maika inayofuata.
Ila main organisers sijui walipotelega wapi.
Bado tunawakumbuka maana through their tears we achieved
Usieleke?Hata haujui maana ya quotation marks. Swali langu ni lilelile - uliruka punctuation primary na sekondari? Unapiga stori ndio - lakini ina maana gani kuwasiliana na usieleke? Kama unawasiliana halafu haueleweki, unapoteza muda tu.
Usieleke?
Unakimbilia kutoa mchanga kwenye jicho la mwenzako wakati wew unaboriti!!!!
Shame on you
No one is perfect
Yes Ndiyo huyohuyo nilikuwa nashindwa kulikumbuka jina hilo,ndiye aliyeandamana peke yakeYes, mimi namkumbuka Mwita jina la kwanza alikuwa anaitwa Rich kama sikosei
Kwani tunaandika applications hapa?Endelea na uandishi wako huo. Ndio maana mnaozea mtaani bila kazi. Nani atakupa kazi unaandika paragraph haina kituo. Unaandika ripoti kama text message.
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji3][emoji3] kwenda zako. Hata hivyo mimi sihusiki hapo...huyo mdau aliyesema aliingia udsm 2010 labda ndio akuamkie
Kwani tunaandika applications hapa?
Mgomo kina al shabab ulikua ni wakutetea madogo waliokosa mkopo na vyakula vibovu kweye migahawa ya chuoSuala la kuongezewa pesa kutoka 5,000 hadi 7,500 ni mgomo ulioongozwa na kina Mwita. Ule mgomo wa kina Alshabab labda waliongeza kwenye mambo mengine lakini sio boom
Wew Una uhakika sijaajiriwa?Wewe na mwenzio mnawakilisha wengi mno ninaowaona kwenye interviews. Hayo "mavyuo" ya hovyo yanatoa wanafunzi wengi tu kila mwaka, siyo wewe tu.
BahTweveWale wa mgomo ulioongozwa na Tweve 2004 May tunacomment wapi?
Elimu Bure sasa hujachelewaSijawahi kusoma
Alikua shemela wangu, alikua anatoka na beat yangu mganda mwenzie nadhani walikua wanatokea sehemu moja so walikua wanafahamiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au ulikuwa unamtunuku tundaaaaaaaaaaa!.Maana si unajua tena kichuo chuo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa mkuu 🙏🙏Mi hata simfahamu bro..Nimekuwa tu interested kujua..Sometimes kwenye maisha kuna watu wanajitoa muhanga kwa manufaa ya watu wengine lakini mwisho wa siku wanakuja kubezwa na watu haohao aliowasaidia..
Alikua shemela wangu, alikua anatoka na beat yangu mganda mwenzie nadhani walikua wanatokea sehemu moja so walikua wanafahamiana