2011 NBA All-Star Game Weekend

Eastern wana defence nzuri KG,Superman but Western wana forward kali mno Melo,Durantula na Black Mamba ,hii sio ya kukosa kabisa
Kwa sasa hivi pote pame balance....ila East naona kiboko baada ya Amar'e kuhamia Wizzard kaongeza nguvu sana East......
 
Ndio inaanza leo.....punguzeni mapombe kidogo kunywa juice ya ukwaju uku ukiangalia games...

Leo itaanzan Celebrity All-Star Game muda mwingi saa 9 usiku saa za East africa....

maceleb wa majuu watakaokipiga...baadhi yao..
ESPN Analyst Magic Johnson (NBA legend and Hall of Famer)
• Grammy-nominated artist Justin Bieber (pop artist)
• Scottie Pippen (NBA legend and Hall of Famer)
• Bill Walton (NBA legend and Hall of Famer)
• AC Green (NBA legend)
• B.J. Armstrong (NBA legend)
• Chris Mullin (ESPN Analyst and NBA legend)
• Jalen Rose (ESPN Analyst and NBA legend)
• Jimmy Kimmel ("Jimmy Kimmel Live!")
• Ty Burrell ("Modern Family")
• Rob Kardashian ("Keeping Up with the Kardashians")
• Zach Levi ("Chuck")
• Jason Alexander ("Curb Your Enthusiasm")
• Common (Just Wright)
• Bill Simmons (ESPN.com columnist)
..
......where is ma boy SNOOP.....
 
wamemuibia Ibaka dunk contest! Dunk la griffin (over a car) halikufikia la Ibaka (throw-line take off)!
 
Mie nilikuwa upande wa Mcgee , lol si unajua anawakilisha lol.

sema kaniangusha kafanya mambo ya ajabu round ua klwanza final round kaishiwa.
Hahah..msela nilijua mcgee atashinda sema ule mdunk wa kwenye gari presentantion yake ilikuwa kiboko jamaa walileta hadi kwaya lol. Naona waafrika wote wanasema Ibaka kaonewa lol.
 
Hahah..msela nilijua mcgee atashinda sema ule mdunk wa kwenye gari presentantion yake ilikuwa kiboko jamaa walileta hadi kwaya lol. Naona waafrika wote wanasema Ibaka kaonewa lol.

Ibaka alianzia kuruka kwenye mstarai wa free throw, jamaa wamemuonea.


Griffin aliteka akili za watu na kw ahile dunk ya mcgee ya mwisho asingeweza kubadilisha mawazo ya watu kabisa.
 
Griffin alikuwa overated kwa mtazamo wangu McGee ndio alistahili kushinda
 
McGee was better than Griffin. Majaji wamechanganywa na show ya gari na kwaya kubwa, lakini Griffin hakuwa na dunk mpya hata moja, gari haikuwa mbali sana na rim, elbow hang ilikuwa kazi ya mzee mzima Vince Carter.
 
Naona Black Mamba hajafanya makosa uwanja wa nyumbani,sikutegemea kabisa kama WEST wangeshinda
 
Hahahahahaha ana miguu mizuri sana iliyojaa kila kona inayostahili kujaa kwa hiyo kivazi chake kimempendeza
I wanna bone Rihanna so hard.....but her hair is a mess
 
thread sio ya maneno hii...wekeni mapicha......
demar-derozan-021911a.jpg

Toronto Raptors' DeMarr DeRozen
tumblr_lgwn0hVFdT1qzb7vjo1_500.jpg

mkongoman.....ibaka
 
huyu McGee dogo derseved two 50's....
59569650.jpg

......kudadaadeki hii ilikuwa kiboko.....
 
McGee was better than Griffin. Majaji wamechanganywa na show ya gari na kwaya kubwa, lakini Griffin hakuwa na dunk mpya hata moja, gari haikuwa mbali sana na rim, elbow hang ilikuwa kazi ya mzee mzima Vince Carter.
man the NBA is all about entertainment...
0a8a19fda3532581f8d33d91c8eba214-getty-bkn-nba_all-star_game.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom