Haya wazee wa kujinyoosha ndio wakati wetu huu......
...Doc Divers ma favourite coach will lead the easthern side yenye wakali kibao.... na Gregg Popovich toka Spurs atakuwa West....
.....
kashabikie simba na yanga.....sio size yako hapa.....
tofauti kubwa.....mkuu kwani washabiki simba na yanga na wa NBA wana utofauti?
tofauti kubwa.....
...unaona kuna nini simba na yanga?
.....washabiki wa simba na yanga wale wavaa misuli na njaa zao kila siku malumbano.....
.....NBA hapa hakuna njaa zenu za kushinda pale kariakoo kusubiri gate collection....
.......
....anyway piga chini store hizo...
heheh punguza yengele ..kubali ulichemsha... By the way kama utakuwa mjini hapa kwenye all star weekend nitafute.kashabikie simba na yanga.....sio size yako hapa.....
wajimini,nani wako kwenye dunking competition dis yr?na picha zao tafasalini
Eastern wana defence nzuri KG,Superman but Western wana forward kali mno Melo,Durantula na Black Mamba ,hii sio ya kukosa kabisapoa...
nambie una maoni gani na nba all star weekend?