2010 FIFA World Cup Draw

Kundi la kifo World cup 2010 ni...

  • Group C: England, USA, Algeria, Slovenia

    Votes: 0 0.0%
  • Group D: Germany, Australia, Ghana, Serbia

    Votes: 0 0.0%
  • Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark

    Votes: 0 0.0%
  • Group F: Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia

    Votes: 0 0.0%
  • Group H: Spain, Honduras, Chile, Switzerland

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    12
PIX2.jpg
 
Timu zote za Afrika zimepangwa makundi magumu ,kwetu sisi kuingia raundi ya pili ni mafanikio but nawaaminia Ivory Coast
 
Ni kundi gani ambalo unadhani ni la kifo?

Kindly please cast your vote on the above poll!

Group A: South Africa, Mexico, Uruguay, France

Group B: Argentina, South Korea, Nigeria, Greece

Group C: England, USA, Algeria, Slovenia

Group D: Germany, Australia, Ghana, Serbia

Group E: Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark

Group F: Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia

Group G: Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal

Group H: Spain, Honduras, Chile, Switzerland
 
Definitely not Group H.
It's all gente de amor with a touch of ''timely chocolate''....nothing serious really!
 
possibly group G, ndo la kifo maana hapo ni balaaa, kuna brazil, portugal, ivory cost hapa ni vita muraaaa, mdebwedo hapo ni north korea tu.
 
deh deh deh. hilo g , hapo g angeingizwa taifa stars angetolewa kabla mashindano kuanza. deh deh deh. acha nikanunue tv mpya.
 
Matumaini yangu kwa nchi za Kiafrika bado hayajapotea kwa Ivory Coast pamoja na kwamba wamejikuta kwenye 'kundi la kifo'. Naamini nafasi moja kati ya mbili za kusonga mbele kwenye group hili ni ya Brazil na ya pili inaweza kuwa ya yeyote yule japokuwa naamini itakuwa ni kati ya Portugal na Ivorians. Tusiwahofie sana wareno kwa kuwa mwaka huu wameingia kwa kuipitia 'mlango wa uani' wakati Ivorians wameshinda mechi zao zote kwenye qualifiers na fact kwamba mashindano haya yanafanyika Africa- siwezi poteza matumaini! Hatuwajui sana Wakorea na sitashangaa sana kama wakimgaragaza kigogo yeyote humu.
Nchi yangu ya hiari- England. If they dont go through to the second round, watafute ukimbizi hukohuko Africa, wakirudi wapigwe shaba wote! kundi lao ni mboga kuliko yote, utadhani wamejichagulia!!
 
possibly group G, ndo la kifo maana hapo ni balaaa, kuna brazil, portugal, ivory cost hapa ni vita muraaaa, mdebwedo hapo ni north korea tu.

Je ni nani atapina hatua ya kwanza hili kundi G?????? Hilo ndilo la kujiuliza sasa, me ni Brazil na Ivory Cost
 


Je ni nani atapina hatua ya kwanza hili kundi G?????? Hilo ndilo la kujiuliza sasa, me ni Brazil na Ivory Cost

mimi nahisi wareno na samba boyz. code di voa wazuri lakini wana mzimu wa kiafrika unawaandama .
 
mimi nahisi wareno na samba boyz. code di voa wazuri lakini wana mzimu wa kiafrika unawaandama .

Teh teh teh !!! mpwa duuuuuh amakweli huo mzimu sijui ni lini utakuja kutuachia mwanya tujigomboe?? ngoja tuje tuwaoneee mambo yao huko SA

 
Group G: Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal
Wakuu wa game hili ndio kundi la kifo hakuna ubishi hapa kuwa timu ya Afrika tuliyoitegemea Ivory Coast imewekwa kwenye makaa ya moto. But hope tutashinda tu kwani kitu gani bwana
 
deh deh deh. hilo g , hapo g angeingizwa taifa stars angetolewa kabla mashindano kuanza. deh deh deh. acha nikanunue tv mpya.

Teh teh teh, du mwanangu hii kali! lakini mwanangu wewe husikii tunavyofanya vitu vyetu huko kwa mzee Kibaki? Hapo Kaka na Ronaldo tungewapiga buti mpaka wangeomba kwenda kutibiwa Serbia!
 
Back
Top Bottom