I think its about time tukaamua kama chombo kwenye uchaguzi wa 2010 tunasupport Vijana au wazeee
by Vijana simaanishi akina calibr ya akina Lawrence Masha (alishapata nafasi na alishindwa na si Kijana anymore) balli ninamaanisha Vijana ambao wako UNDER 36 yrs regardless of chama kipi wanakiwakilisha
In otherwords tunaendelea na BACK TO THE SAME au NEW BLOOD
lakini its about time tukaamua tuko upande upi.
Mimi nasapoti mtu mwenye nia ya kweli ya kuongoza, muadilifu, asiye fisadi, mwenye mtazamo na uwezo wa kuleta positive changes, capacity builder na sifa zote za kiongozi bora
sijali umri, kabila au dini!!!
NAWAKILISHA
I think its about time tukaamua kama chombo kwenye uchaguzi wa 2010 tunasupport Vijana au wazeee.
Haitawezekana kuamua kama CHOMBO. Hii si demokrasia.
Harafu, achana na mawazo potofu - kwamba umchague kiongozi wako kwa kigezo cha umri wake.
Kiongozi bora atapimwa kwa kauli zake, sera zake, past background yake na ikiwezekana amedeliver nini huko nyuma. Mzee au Kijana si hoja ya msingi
JF ni ya wananchi wote,vijana kwa wazee,wanawake kwa wanaume,wenye ulemavu na wasio na ulemavu,maskini na matajiri,maarufu na wasio maarufu ,wenye dini na wasio na dini,waislaum na wakristo hivyo sidhani kama ni sahihi kwa JF kama taasisi kusapoti au kutosapoti kundi lolote...
Hawa wazee wamekuwa wakitutawala for over 40 years and what have we got? well you know what it is...kweli mtu kashindwa kuleta changes in the 20th Century anajipya la kutuletea in the 21st Century?
Might sound extreme lakini you know what wapewe hizo nafasi akina Mnyika na wenzie waende lakini Im tired of the MAKINDAS and KINGUNGES wa tangu enzi za Nabii Nuhu!!
uzee tunazungumzia miaka mingapi?
in my opinion...anyone over 37
na Masha hafai vile vile
Dang....utawafanya Mwanakijiji na Rev. Kishoka wawe depressed lol
Uongozi sio suala la kubahatisha na naamini ndio mambo yanayotusumbua sasa kama nchi. Mtu ambaye ki asili ni kiongozi kipaji chake hakijifichi, na hivyo haipaswi tubahatishe au tumpe mtu kwa kigezo cha ujana au umri wake. Cha msingi tuwe wakweli tumchague mtu ambaye tunaamini atatufikisha pale tunapo patarajia kutokana na mtazamo wake, upeo wake katika kuchambua mambo na hasa kiongozi mzuri ni yule ambaye anafahamu matatizo yetu kama taifa.Then kumbe si suala la UMRI wao, bali ni kwamba hawajadeliver kitu in 40 years!
Kwa hiyo akina Mnyika wapewe tuuu kwa kuwa ni VIJANA? Labda una maana kwamba TUWAJARIBU vijana nao tuone kama wataweza. Tumefikia hatua sasa hatuna matumaini na ni jambo la kujaribisha jaribisha tu