2007 Rav 4

2007 Rav 4

Middle class ipo sema system mbovu ya uchumi...viwanda hakuna kila kitu imported...

Mzee SIYO, kweli Bongo hakuna Middle class, hawa Wazungu siyo wajinga, nina Uhakika Tanzania nzima watu wanaopata mshahara wa Milioni mbili (Shs) kwa mwezi hawafiki hata asilimia 1% ya Watu wote wanaofanya kazi, sasa hii ni ndogo sana kuweza kuendesha Shopping Mall na kwa faida kama mlimani City na ndio maana kuna mabenki tu mle na kampuni za simu!

Lakini watu wenye uwezo wa kununua Komputa mpya, Friji mpya, Flat screen TV mpya, washing machine Mpya, bongo ni wachache sana na wengi wao ni Wageni wanaofanya mashirika ya kimataifa, huo ndiyo ukweli wenyewe na ndio maana unaona Makampuni yote ya Kimataifa yaliyoko Bongo yanaishi kwa kutegema Serikali kama vile Toyota ipo kwa maana mnunuzi mkubwa ni Serikali lkn sisi kama Wabongo wanaoweza kwenda Toyota na kuchukua gari Mpya hata kwa mkopo tu ni wangapi?
 
Kweli kabisa. Well said
 
Back
Top Bottom