2007 Rav 4

2007 Rav 4

Ata mimi nimemshangaa unauziwa old model ya 1998 alafu unaifananisha na new shape ya 2007 !!!

Jamaa dizaini katoka bush juzi juzi yaani hiyo range rover yake hata milioni 5 sinunui tena ikiwa hapa hapa tz ishalipiwa kila kitu...

By the way hii bei ya rav4 inabidi iwe between 20-30m not more than 30
 
Unaongelea gharama ya kuagiza au bei ya kuuza mkuu? Fanya research kidogo basi, nenda kwenye web za Japan (zingatia rangi na engine type) kisha kaangalie calculator ya TRA yasemaje then nifate PM pls. Usichague silver wala white, chagua black
 
Jamaa dizaini katoka bush juzi juzi yaani hiyo range rover yake hata milioni 5 sinunui tena ikiwa hapa hapa tz ishalipiwa kila kitu...

By the way hii bei ya rav4 inabidi iwe between 20-30m not more than 30

Kwa uzoefu wangu linabidi liwe more than 30ml,hilo ni 2007 new shape na rangi uwa ni factor kubwa sana ktk kupanga bei ya gari,huyo jamaa hapo juu anaweka gari la 1998 spare ya model hiyo ata hapa Dubai ni ngumu sana kuzipata watu wengi wanayapaki kutokana na spare ndogo tu.Rav 4 new shape ipo juu ktk bei na ushuru pia.Tuliingiza Harrier ya 2007 ushuru pekee ulikuwa 14ml ila ukikutana na mtu atatakakulinunua kwa 20 ml !!!!!
 
Hahaha sema wewe ndugu sie wengine twaonekana wezi.
 
Check na beforward ndo useme tena bei
 
Kwa uzoefu wangu linabidi liwe more than 30ml,hilo ni 2007 new shape na rangi uwa ni factor kubwa sana ktk kupanga bei ya gari,huyo jamaa hapo juu anaweka gari la 1998 spare ya model hiyo ata hapa Dubai ni ngumu sana kuzipata watu wengi wanayapaki kutokana na spare ndogo tu.Rav 4 new shape ipo juu ktk bei na ushuru pia.Tuliingiza Harrier ya 2007 ushuru pekee ulikuwa 14ml ila ukikutana na mtu atatakakulinunua kwa 20 ml !!!!!

Rangi inaweza kuleta tofauti ya dola ngapi kwa same type and make!!
 
Ha ha ha! Wale waliofunga maduka yao ya nguo M city, wali conclude kwamba, 'There is no enough middle class in Tanzania'. Wengi wemeshazoea Vitz so watatoa bei za milioni saba nane hapa. Sana sana watakuchefua tu!
 
TRA ni 7m sa .tatizo wabongo hatufanyi utafiti tunakubari kila neno

kazi kwelikweli, wewe rav 4 uliyolipia 7m ni model gani, ya mwaka gani, ushuru ulilipa lini?!! unapodai kufanya utafiti wakati haujafanya huo utafiti ni uzembe wa hali ya juu.
 
Ha ha ha! Wale waliofunga maduka yao ya nguo M city, wali conclude kwamba, 'There is no enough middle class in Tanzania'. Wengi wemeshazoea Vitz so watatoa bei za milioni saba nane hapa. Sana sana watakuchefua tu!

Middle class ipo ila ni ya aina tofauti kabisaa kulinganisha na conceptualization ya "middle class", mshahara hautoshi lakini anatakiwa ajenge, asomeshe, asaidie wazazi, viwanda ndani havizalishi hata pini kwa hiyo mshahara unatosha kuishi tu ndio maana spending ya class hii haionekani.

Mathalani tairi zingekuwa zinazalishwa nchini bei ingekuwa nzuri, saruji na nondo bei ingeshuka, kodi zipunguzwe japo kwenye magari, ada za shule juu sana, mikopo riba ya kuchumpa huyu anayeitwa middle class hawezi fanya shopping Mlimani City Regularly
 
Mido klasi ya kununua mchele kariakoo, tandale na labda kunywa bia kontena hiyo ipo lkn mido klasi walioiongelea watu wa MLn City haipo hapa Bongo au ni ndogo sana, yaani watu wanaoweza kuingia Shoprite na kufanya manunuzi ya 80 000 shilingi kwa wiki ni wachache sana na wengi wao ni wageni, ndio maana jamaa wakasepa!

Hili somo tamu, mnasema acheki ushuru na TRA, hapa ni wapi sasa!?
 
Mido klasi ya kununua mchele kariakoo, tandale na labda kunywa bia kontena hiyo ipo lkn mido klasi walioiongelea watu wa MLn City haipo hapa Bongo au ni ndogo sana, yaani watu wanaoweza kuingia Shoprite na kufanya manunuzi ya 80 000 shilingi kwa wiki ni wachache sana na wengi wao ni wageni, ndio maana jamaa wakasepa!

Middle class ipo sema system mbovu ya uchumi...viwanda hakuna kila kitu imported...
 
Back
Top Bottom