Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
tv yako haina kabisa av? why utumie hicho kifaa? sijaelewa hapoTatizo mimi nina STAR-X nchi 32 ukiweka HDMI inakubali lakin AV haikubali japo nina hiki kifaaView attachment 496440View attachment 496441View attachment 496442
Inatakiwa nikiweke vipi ili kisomeee je ni OUT or IN na kwenye source si itatakiwa niweke AV au ipi kati ya hiziView attachment 496443
tv yako haina kabisa av? why utumie hicho kifaa? sijaelewa hapo
mkuu kuna njia ya zamani unachomeka hapo kwenye waya wa antenna, waya wake unakuwa ni mmoja tu kama huuView attachment 496469View attachment 496470View attachment 496471View attachment 496472
Tv yangu ipo hvyoo sehemu ya AV haina huwa najiuliza Why au hiyo sehemu iyo wazi karibu na HDMI 2 ilipaswa kuwa na AV....au kuna kitu kilifanyika
Nimesoma hapo chini ya TV nikaona ni SCART nimeweka IN na Source nikaweka SCART lakini haioneshi HD QUALITY INASHUKA KIDOGO
Anhaaa sawa Chief asante sanaa hiyo TV si ninaweza enda kwa fundi akaweka AV cablescart ni hilo connector kubwa ulilotuma picha yake mwanzo,
na connector zote za zamani hazikupi HD quality ndio maana unaona sasa hivi wanazireplace na connector mpya kama HDMI na wenzake.
sina uhakika mkuu, kwanini usigoogle model yake uangalie specs? maana ukiwa na specs utajua kama inakubali au haikubali hio avAnhaaa sawa Chief asante sanaa hiyo TV si ninaweza enda kwa fundi akaweka AV cable
10000,15000 na kuendelea.waya wa HDM1 naomba kujuzwa bei yake wakuu.
We ni mwl mzurihii picha ya nyuma ya dstv
hio namba moja ni hdmi nunua waya wa hdmi halafu connect na tv ya kwanza
hio namba mbili ni waya wa av hapo utachomeka waya wake na uende tv ya pili
av cable ni huu
na hdmi cable ni huu
Usihangaike sana. Kuna kifaa cha AV to RF converter ambacho kinabadili picha na sauti kutoke kwenye dekoda kuwa Radio Frequencies RF ambapo intoa port ya BNC (port kama ile ya TUNER au antenna) ambapo utachomeka COAXIAL cable ya TV yako na kwa upande wa TV utaichomeka sehemu ya antenna na utaSEARCH kama TV za analog. Kama unataka kuunga TV zaidi ya Moja basi utatumia COAXIAL SPLITTER na sio DISEQ SWITCH.Hellow.....Nina King'amuzi cha Dstv sasa nahitaji kuunganisha TV 2 zote zioneshe kwa wakati mmoja! Nina hitaji kifaaa gani na ni sh.ngapi niendee kariakoo Sasa hivi! au kuna njia Gani ya kufanya msaada plz
Cc:Chief Mkwawa
Kuna hadi Mita ngapi mkuu10000,15000 na kuendelea.
Bei inategemeana na urefu.
Hivi vifaa unaweza weka na picha ake kabisa?Usihangaike sana. Kuna kifaa cha AV to RF converter ambacho kinabadili picha na sauti kutoke kwenye dekoda kuwa Radio Frequencies RF ambapo intoa port ya BNC (port kama ile ya TUNER au antenna) ambapo utachomeka COAXIAL cable ya TV yako na kwa upande wa TV utaichomeka sehemu ya antenna na utaSEARCH kama TV za analog. Kama unataka kuunga TV zaidi ya Moja basi utatumia COAXIAL SPLITTER na sio DISEQ SWITCH.
technique hii nimestudy kwenye hotel moja ingawa sikufanikiwa kupiga picha jina la hicho kifaa.
Ila wanakuwa na dekoda kama 10 za DSTV na zote zimeungwa kwenye AV to RF na baadae hizo coaxial zikakutanishwa kwa kifaa kingine ikatoka COAXIAL moja ambayo hiyo ndio inatumika kwenye hotel nzima
Kama hii ndio niliyoiona exactly.Hivi vifaa unaweza weka na picha ake kabisa?
Kwa iyo analipiadecoda zote?Usihangaike sana. Kuna kifaa cha AV to RF converter ambacho kinabadili picha na sauti kutoke kwenye dekoda kuwa Radio Frequencies RF ambapo intoa port ya BNC (port kama ile ya TUNER au antenna) ambapo utachomeka COAXIAL cable ya TV yako na kwa upande wa TV utaichomeka sehemu ya antenna na utaSEARCH kama TV za analog. Kama unataka kuunga TV zaidi ya Moja basi utatumia COAXIAL SPLITTER na sio DISEQ SWITCH.
technique hii nimestudy kwenye hotel moja ingawa sikufanikiwa kupiga picha jina la hicho kifaa.
Ila wanakuwa na dekoda kama 10 za DSTV na zote zimeungwa kwenye AV to RF na baadae hizo coaxial zikakutanishwa kwa kifaa kingine ikatoka COAXIAL moja ambayo hiyo ndio inatumika kwenye hotel nzima