2. Mchangiaji bora JF 2025

2. Mchangiaji bora JF 2025

2. Mchangiaji bora JF 2025


  • Total voters
    33
  • Poll closed .
Rudi juu tena, kwenye mada husika,kisha soma Paragraph ya pili kwa umakini zaidi,

Au ngoja nikuwekee hapa;

"Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List"
Kuna watu wakikosekana au vitu Fulani vikikosekana huwa hiko kitu automatically kinakosa maana.

Sawa Mimi niweke list ya wachezaji bora Barcelona muda wote Kisha Messi akosekane na awepo Song Mabange hapo list itakosa maana
 
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.

Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List

Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.

Kwangu JF wote ni bora.
Bila kuwepo jina la Lamomy ambaye ni mchangiaji bora wa JF list haina maana
 
We mtoa mada umeweka hapo jina langu ili kupata Engagement kubwa bila shaka

Ila the mistake uliyofanya hauwezi ukamchukua Mchezaji wa Barcelona ili aje ashindane na wachezaji wa Mbeya city au Majimaji

Haya Land au HOV ni mchezaji wa timu ya Barcelona sasa inakuaje anaingia kushindania tuzo moja na wachezaji wa Mbeya city

Hii haijakaa professional .

Next time don't do it
 
Kaka Evelyn Salt na Mkuu Numbisa kwa kiukeni.

Kiumeni
HAYA LAND HOV japo kauvaa uchawa dakika za jioni.
ERoni
Eyce
Hao ni wachangiaji Bora kwa mwaka huu Kila mmoja kwa idara yake.


SIO KUVAA UCHAWA NI KUWA NA MTAZAMO TOFAUTI

KILA MTU MWENYE MAWAZO KINZANI UKIMUITA CHAWA UNAKUWA UNAKOSEA SANA .

ALSO HII TUZO MIMI SIITAKI WALA SITAKI MTU ANIPIGIE KURA NA WALIONIPIGIA KURA WANABIDI KU- UNVOTE

MCHEZAJI WA BARCELONA FC HAYA LAND HOV HAWEZI AKASHINDANIA TUZO MOJA NA WACHEZAJI WA MAJI MAJI FC AU MBEYA CITY.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom