i hope sio Mtz ....
CIA na FBI wameanza kuajiri watz kutekeleza "false flag" events?Uko Kama Mimi Nimeganda Kwenye TV I hope sio MTZ .Naomba mungu kwa hilo
Magaidi wanajulikana.....subirini kidogo mtawajua....wale wale...
Hii ni terrorist attack subirini
Watakavyo spin
Je ni maigizo?
Ona picha katika hii link David Icke's Official Forums - View Single Post - Explosion in Boston
Kuna siku nilikasirika nilikuwa naangalia DATELINE Wanigeria walivyo filisi bank one .sasa hao wanageria walivyoshikwa hotelini wanaulizwa nyie diplomat from where or Tanzania .Nikamwambie mume wangu hamna mtanzania anafanana na hivi wala heavy accent ya hivyo.Chris (anchor)akamwuliza you sound and you look like your from Nigeria akajikanyaga hapoo.Unajua Wanigeria wanaikataa Nchi Yao baada ya kuharibu wewe.Wamefanya waafrika Woote kuwa tunaulizwa are you from Nigeria sipendagi !!!!CIA na FBI wameanza kuajiri watz kutekeleza "false flag" events?
"Ugaidi"(uhalifu) wanaofanya watz uko katika kiwango cha kuteka mtu na kumng'oa meno na kucha, kuua kwa risasi au kumchoma mlengwa kwa kitu chenye ncha kali, au kutumia mapanga, nondo lakini sio mabomu.
Kwa asilimia 99 hawezi kuwa mtanzania.
Nasemaga always Tanzania ni Nchi nzuri na watu wake nikiangalia hii mijitu mingine .Mume wangu ananiulizaga wewe unajuaje Kama mtu huyu mnigeria,Ghana ?namwambia I can tell .Sisi ndio wote waafrika lakini we are different vibaya mnooo.Behaviour ,manners .Yaani watanzania wanahuruma na Hawana hasira ila umbea tumeshika bendera Nafikiri history yetu sisi na Zanzibar lazima uswahili tuwe nao(waarabu )CIA na FBI wameanza kuajiri watz kutekeleza "false flag" events?
"Ugaidi"(uhalifu) wanaofanya watz uko katika kiwango cha kuteka mtu na kumng'oa meno na kucha, kuua kwa risasi au kumchoma mlengwa kwa kitu chenye ncha kali, au kutumia mapanga, nondo lakini sio mabomu.
Kwa asilimia 99 hawezi kuwa mtanzania.
Hizi za leo ndizo rasmi. Zile zilizosambaa jana sizo.
Na sasa hao jamaa wa kwenye hizi picha za leo sio 'persons of interest' tena.
Ni 'suspects'.
.. ni kama vile tuu!Wasiwe ni wa dini yangu yenye kupenda amani



