2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

Kumbuka kuna watu zaidi ya 42 waliuwa IRAQ wiki iliyopita .Hawa ni Waislamu wa Shia,ambao wamekuwa target na waislamu wa ki Sunni
 
Maumivu ya raia wa marekani yanatokana na US kutengeneza maadui wengi duniani.
 
Maumivu ya raia wa marekani yanatokana na US kutengeneza maadui wengi duniani.

Nashangaa sana kwa US kutafuta huruma juu ya swala hili, mbona wao wanaua hata hao watoto, tena maelfu kwa maelfu. leo wao kushambuliwa ndio inawauma?
nawapongeza waliofanya haya mashambulizi, safi sana, tena wangekufa hata 1,000 ningefurahi sana.
 
Wewe ni mtu au jini unawezaje kufurahia wengine kufa? iwe ni Iraq,UK,South Korea,Romania,SA, USA ama hapa TZ huwezi chekelea wakati wengine wanalia,kama ni tamu nawe ufe kidogo na kuzinduka ili UJE utusimulie raha na machungu ya kifo,Zaidi ya hapa wewe ndio GAIDI MKUBWA.
 
Nyani haoni.....
US has created many terrorism cells around the global....kinachoendelea IRAK na Sasa Syria tena wakiwapa misaada ya kila aina magaidi ili waue,watese na atimae kuipindua serikali harari ya BASHAR....mie nadhani hii liwe somo imeonekana tageti haikufikiwa ya watu wengi zaidi ya kuvuruga tu hiyo marathon....poleni Raia wa US mliopoteza wapendwa wenu ila mnapaswa kujua maovu yaliyotengenezwa na serikali yenu dhidi ya raia wengine HAYASAMEHEKI kwani wengine imekua ni kila siku wanapoteza wapendwa wao....HII IWE FUNDISHO KUSAPOTI UGAIDI
 
"makachero wameanza kubaini milipuko ya bomu ya Boston kuwa inawezekana kuwa zilifichwa kwenye Sufuria ya kupikia"
Mabomu yaliyolenga Mbio za Marathon huko Boston Marekani huenda yalifichwa ndani ya sufuria za kupikia. Hii ni kwa mujibu wa majasusi.
Baadhi ya picha zilizochapishwa kwenye taarifa ya shirika la ujasusi-FBI zinaonyesha vipande vipande vya chuma. Shambulio hilo la Jumatatu wiki hii liliwaua watu sabana kuwajeruhi wengine zaidi ya 170.Miongoni mwa walipoteza maisha nipamoja na mvulana wa miaka minane na mwammke wa miaka 29, pamoja na mwanafunzi raia wa China.
Mwandishi wa BBC mjini Boston anasema mkesha wa maombi kwa waathirka ulifanyika hapo Jumanne, huku wenyeji wakitafakari sababu za kutaka kulenga mbio hizo ambazo huwa kivutio cha wengi.
Huku haya yakiarifiwa Rais Barack Obama anatarajiwa kuzuru Boston hapo Alhamisi kwa maombi maalum ya kuomboleza vifo hivyo.
Obama pia atawahutubia waathiriwa na jamaa zao. Madaktariwanaowahudumia majeruhi wamesema bomu hilo lilikua na vyuma, na vipande vya makombora. Majeruhi kadhaa wamekatwa miguuna mikono.
CHANZO: BBC
 
Taarifa kutoka FBI.

The explosives were made in pressure cookers packed with gunpowder and shrapnel, law enforcement sources said.
[TABLE="class: Skyscrapper_Body in-article-item quote"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The sources said the explosives were in six-litre pressure cookers and placed in black duffel bags that were placed on the ground.
The bags contained shards of metal, nails and ball bearings.
Al Jazeera's Alan Fisher said such a bomb was set to explode by using a mobile phone and had been used in Iraq and Afghanistan.
"The police were saying that there were traces of pressure cooker found at the site," he said.
"The suggestion is that the pressure cooker was put in a backpack and placed on the ground, and that is why we've got so many lower body injuries

Source; http://www.aljazeera.com/news/americas/2013/04/2013416152112944580.html - Shared via Al Jazeera English app
 
BOSTON_MARATHON_EXPLOSIONS_.jpg
 
Reuters) - Investigators believe they have identified a suspect in the Boston marathon bombing from security video, a U.S. law enforcement source said. He has been arrested.

An official announcement on the issue is expected later on Wednesday, the source said.
 
Back
Top Bottom