Tatizo kubwa la kina Ngoyai Lowassa na Rostam Azizi ilikuwa ni kufanya kosa la kumkaribisha JK kikwete kwenye mtandao waliounda kwa ajili ya kuwaingiza Madarakani Miaka ya 90,s.JK Kikwete lengo lake halikuwa kuuendeleza mtandao bali kuutumia kama mgongo wa kuingia madarakani kisha baada ya hapo kuumaliza kabisa(kama alivyokuwa ameamuliwa na wazee wake Ngoyai Lowassa aliukabidhi mtandao kwa mtu ambaye hakumjua vizuri, aliamini sana kwenye urafiki, na WASWAHILI WALISEMA KOSA MOJA GOLI MOJA. JK, Alianza na kummaliza moja ya mkubwa, kigogo na Mwanzilishi wa Mtandao kwa operation maarufu ya Vua Gamba... Rostam Aziz akachomoka,,, Baadaye akamalizana na Ngoyai Lowassa,, na sasa wamemfukuza kada kindaki kindaki wa mtandao Sophia Simba..................
Mbaya wa mtandao ni JK,,, AMAEUMALIZA, kwa sababu alijua siri zake zote. Lakini hakuwa muumini wala mmiliki wa Mtandao.. Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kisiasa kwa Lowassa kumkaribisha na kumpa nafasi Kikwete katika mtandao....... IT WAS POLITICAL SUICIDE.......................................na sijui kama kuna njia nyingine ya Reinvention kwa LOWASSA................Inaweza ikawa mwisho wa GAME...............................time will tell