BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Vipi wale Mashekhe sasa Hivi ni HalaliCCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.

Expectations accepted. Dreams welcomed. Hallucinations part of life. Fanatics unchanged by facts.Kweli kabisa mtandao wa uliokuwa umeota mizizi sasa nauona ukiwa umeng'olewa
Machoni unaweza kuona hivyo, lakini mioyoni mwa baadhi ya wanachama na mashabiki,maamzi ya Jana ambayo yalikuwa utake usitake lazima ukubaliane yametegeneza mtandao mwingine mpya na hatari zaidi ndani na nje ya chama. Muda ni mwamzi,ngoja tusubiri.Kufuatia kwa kutimuliwa kwa viongozi waandamizi wa CCM hiyo dalili tosha kwa chama hicho kimechoka kuwa na makundi ndani ya chama ambao kazi kupigia debe mtu katika nia ya kutwaa madaraka.
Nakumbuka mwaka 2005 jinsi hawa Wanamtandao walivyotumia kila aina ya mbinu ili kuchukua madaraka pamoja na kutoa kashfa mbaya sana dhidi ya mgombea mwenzao Dk Salim Ahamed Salim.
Sasa ni wakati wa wabunge kama kina Bashe wajitafakari upya la sivyo wataonyeshwa milango kama hao wengine waliotimuliwa.
Kwa maamuzi ya mkutano mkuu CCM imeonyesha wanachama wako makini katika kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM kupitia Kamati kuu katika kuleta CCM yenye matumaini.
Tanzania bila kuondoka CCM haiwezi kupiga nusu hatua mbele CCM ni majanga tuKufuatia kwa kutimuliwa kwa viongozi waandamizi wa CCM hiyo dalili tosha kwa chama hicho kimechoka kuwa na makundi ndani ya chama ambao kazi kupigia debe mtu katika nia ya kutwaa madaraka.
Nakumbuka mwaka 2005 jinsi hawa Wanamtandao walivyotumia kila aina ya mbinu ili kuchukua madaraka pamoja na kutoa kashfa mbaya sana dhidi ya mgombea mwenzao Dk Salim Ahamed Salim.
Sasa ni wakati wa wabunge kama kina Bashe wajitafakari upya la sivyo wataonyeshwa milango kama hao wengine waliotimuliwa.
Kwa maamuzi ya mkutano mkuu CCM imeonyesha wanachama wako makini katika kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM kupitia Kamati kuu katika kuleta CCM yenye matumaini.
hio hoja ina kaukweli ndani yake . Jibu hoja kwa hoja . sio maneno ya kanga ..Wewe ulishazoeleka kwa unafiki wako. Huna jipya
Chenge, Ngereja, Magufuli, Mkapa, Kikwete, Muhongo, Tibaijuka, Mwakyembe, hawa ni kwa uchache sanaMla rushwa nani, fisadi nani?, mwizi nani? Wakati hao watu wote uliowataja wapo huko kwenu na ndo chaka lao la kukimbilia.
Acha mikwara Bashite weweJe utaweza kuyathibitisha haya maneno yako ukiwa mahakamani au ndio upayukaji wa usiyoyajua?
Kama ni kweli uyasemayo basi nchi hii hakuna serikali inayojielewa na haina uhalali wa kuendelea kuwepo mahakama, jeshi la Polisi na vyombo vyote vya dola vipo kwanini hawa watu wasifikishwe kwa vyombo vya sheria?!Wauza madawa ya kulevya na mafisadi wamejibanza chadema
Mtandao wa Sizonje ni Bashite, Gambo, PK, Mu7, Geshi la wananchi Tz.Kinachofanyika ni kuuwa mitandao iliyopita na kujenga mipya, sasa naona hii mipya inajengwa kikanda zaidi, na kanda nyingine zitakapoungana itakuwa rahisi kudondosha mbuyu, mana nauona mizizi take haijaenda sana chini na ile ya chini imeanza kuoza
Sasa hivi wezi wote wanarimkia chadema ccm imejivua gamba kweli kweli au paracticaly mana enzi hizo ilikuwa inajivua gamba theoreticallyCCM ni kiwanda cha wala rushwa mafisadi wezi vyeti feki n.k
Huyo mliye nae ninani na hao wauza ngadaChenge, Ngereja, Magufuli, Mkapa, Kikwete, Muhongo, Tibaijuka, Mwakyembe, hawa ni kwa uchache sana
CCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.
Tatizo kubwa la kina Ngoyai Lowassa na Rostam Azizi ilikuwa ni kufanya kosa la kumkaribisha JK kikwete kwenye mtandao waliounda kwa ajili ya kuwaingiza Madarakani Miaka ya 90,s.JK Kikwete lengo lake halikuwa kuuendeleza mtandao bali kuutumia kama mgongo wa kuingia madarakani kisha baada ya hapo kuumaliza kabisa(kama alivyokuwa ameamuliwa na wazee wake Ngoyai Lowassa aliukabidhi mtandao kwa mtu ambaye hakumjua vizuri, aliamini sana kwenye urafiki, na WASWAHILI WALISEMA KOSA MOJA GOLI MOJA. JK, Alianza na kummaliza moja ya mkubwa, kigogo na Mwanzilishi wa Mtandao kwa operation maarufu ya Vua Gamba... Rostam Aziz akachomoka,,, Baadaye akamalizana na Ngoyai Lowassa,, na sasa wamemfukuza kada kindaki kindaki wa mtandao Sophia Simba..................Aksante Jakaya Kikwete kwa Kazi kubwa sana ya kuusamabaratisha.
Mtandao uliokuingiza Mamlakani
Utasimangwa mpaka ukome, wenzio wana sema eti CCM inakufaKufuatia kwa kutimuliwa kwa viongozi waandamizi wa CCM hiyo dalili tosha kwa chama hicho kimechoka kuwa na makundi ndani ya chama ambao kazi kupigia debe mtu katika nia ya kutwaa madaraka.
Nakumbuka mwaka 2005 jinsi hawa Wanamtandao walivyotumia kila aina ya mbinu ili kuchukua madaraka pamoja na kutoa kashfa mbaya sana dhidi ya mgombea mwenzao Dk Salim Ahamed Salim.
Sasa ni wakati wa wabunge kama kina Bashe wajitafakari upya la sivyo wataonyeshwa milango kama hao wengine waliotimuliwa.
Kwa maamuzi ya mkutano mkuu CCM imeonyesha wanachama wako makini katika kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM kupitia Kamati kuu katika kuleta CCM yenye matumaini.
Asante mkuu. JK ni masta acha kabisaTatizo kubwa la kina Ngoyai Lowassa na Rostam Azizi ilikuwa ni kufanya kosa la kumkaribisha JK kikwete kwenye mtandao waliounda kwa ajili ya kuwaingiza Madarakani Miaka ya 90,s.JK Kikwete lengo lake halikuwa kuuendeleza mtandao bali kuutumia kama mgongo wa kuingia madarakani kisha baada ya hapo kuumaliza kabisa(kama alivyokuwa ameamuliwa na wazee wake Ngoyai Lowassa aliukabidhi mtandao kwa mtu ambaye hakumjua vizuri, aliamini sana kwenye urafiki, na WASWAHILI WALISEMA KOSA MOJA GOLI MOJA. JK, Alianza na kummaliza moja ya mkubwa, kigogo na Mwanzilishi wa Mtandao kwa operation maarufu ya Vua Gamba... Rostam Aziz akachomoka,,, Baadaye akamalizana na Ngoyai Lowassa,, na sasa wamemfukuza kada kindaki kindaki wa mtandao Sophia Simba..................
Mbaya wa mtandao ni JK,,, AMAEUMALIZA, kwa sababu alijua siri zake zote. Lakini hakuwa muumini wala mmiliki wa Mtandao.. Hilo lilikuwa kosa kubwa sana kisiasa kwa Lowassa kumkaribisha na kumpa nafasi Kikwete katika mtandao....... IT WAS POLITICAL SUICIDE.......................................na sijui kama kuna njia nyingine ya Reinvention kwa LOWASSA................Inaweza ikawa mwisho wa GAME...............................time will tell