madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Mtandao hauwezi kufa ila utakuwepo wa siri si wa dhahir kama mwanzo!
Ila chadema kipo makini sana na hivi majuzi tu kimewaletea wema!Tangu lini ccm kikawa chama makini
Hivi ana watu kweli au wanamzuga tu kwa woga ili waendelee kula?Hapana Mkuu mtandao bado upo, Sizonje anajipanga vizuri ili 2020 asipate tabu ndiyo maana anapangua pangua sehem nyingi... Angeacha bila kuweka watu wake....2020 na yeye angeisoma no
Una ushahidi?CCM KAMWE haiwezi kuonyesha umakini kwa kuendelea kuwakumbatia wahuni, mafisadi, wala rushwa, majangili, wizi, Bashite etc.
Miezi michache tu iliyopita pale mtaa wa lumumba wamegawana rushwa ya milioni 10 kila mbunge ili wapitishe muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.
UmejuajeCCM hawataki Mwenyekiti wao akosolewe.
Ni kweli lkn mbona wakifukuzwa kwa tuhuma hizo mnawakumbatia mnataka hata kuwapa nchi? Mbona hamueleweki msimamo wenu uko wapi?CCM ni kiwanda cha wala rushwa mafisadi wezi vyeti feki n.k
Kwani haiwezekani?Hakuna mbunge,balozi wala waziri alie timuliwa inamaana kati ya hao hakuna wasaliti
Tena atutake radhiWatanzania kuwa makini ktk kuchukua maamuzi yake au CCM kuwa makini ktk kuchukua maamuzi yake? Acha kabisa kujumuisha wa Tanzania wote na akili za ma ccm bwana. Achaaa
Umakini ni kumuunga mkono Mwenyekiti? Hahahahaha kazi mnayo, J atawaharibia chama, mmeona kipigo cha mbwa mwizi cha 7-0?? Ni salamu tu zileKwa maamuzi ya mkutano mkuu CCM imeonyesha wanachama wako makini katika kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM