Dogo ulitaka Mkoa wa Kagera ukaliwe na Majeshi ya Uganda?
IDD Amini alikuwa ni hatari katika ustawi wa East Africa, hata Kenya mwanzoni Moi alimpa Support lakini baadaye alidai maeneo ya Western Kenya ni ya Uganda akajikuta anaingia mzozoKagera imevamiwa 1978 lakin siku ya Uzinduzi wa Bomba la Mafuta kule Horogoro Tanga, Museven alisema Horohoro inamkumbusha 1972 wakati akipitishiwa Silaha na Serikal ya Nyerere kwenda kushambulia Uganda kutokea Kagera
Bado unasubiri RTD sio TBC ikutangazie nani alikuwa Mgomvi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ulikuwa mchezo wa waingereza kutaka kumdhoofisha Nyerere, na Mzee kifimbo pengine aliugundua mapema ndo Maana akamtuma Kambona akijua kabisa kuwa na yeye anamkono katika uhasiKuweka record sawa, huyo jamaa (Rip) mwaka 1964 wakati JWTZ lilipoasi dhidi ya serikali ya Nyerere na yeye akiwa, nafikiri waziri wa ulinzi, ndiye aliyezima uasi huo.
Aliongea na wanajeshi waasi wa JWTZ waliotaka kuongea naye yeye kama waziri wa ulinzi na ndipo yeye Kambona akaongea na balozi wa Uingereza na Uingereza ikaleta vikosi vya makomandoo na kuutokomeza kabisa uasi huo.
Wakati hayo yote yakitokea Mwl. Nyerere alitoroshwa na huyu huyu Kambona na kwenda kumficha huko Mkuranga hadi hali ilipotengemaa ndipo Nyerere akarejeshwa tena Dar.
Baada ya matukio hayo inaonekana Nyerere hakumuamini tena Kambona na alihisi kutokuwa salama wakati huyo jamaa akiwa serikalini kwani Kambona alionekana kuaminiwa zaidi na mataifa ya magharibi kuliko yeye Nyerere aliyeonekana machoni mwa wazungu kama A Communist.
Tukubali tusikubali, huyu Kambona kama ndio angekuwa rais nchi hii leo ingekuwa inacheza ligi moja na Nigeria, South Africa, Egypt, Algeria na Morocco kiuchumi.
NB: Huyu jamaa kuna kipindi wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika alimnasa Kawawa (Rip) kibau kwenye kikao kimoja na wakoloni baada ya Kawawa "Kubwabwaja" kitu alichoona ni cha hovyo, mwenye kumbukumbu atujuze zaidi.
Kuweka record sawa, huyo jamaa (Rip) mwaka 1964 wakati JWTZ lilipoasi dhidi ya serikali ya Nyerere na yeye akiwa, nafikiri waziri wa ulinzi, ndiye aliyezima uasi huo.

Kwani kuongea kingereza ndiyo nini?Waziri wa elimu Tanzania tena professor hawezi kuongea sentence tatu za kiingereza hata magufuli mwenyewe hawezi kuongea hata sentence 2.
Sisi wabongo bado sana tofauti na wenzetu
siku wakoloni weusi ccm wakiondolewa itabidi tuunde tume ya kuandika upya historia ya Tanzania na kubadilisha mfumo mzima wa elimu maana historia na elimu tuliyo nayo sasa sio ya kumfanya mtazania ajitambuwe na awe na uwezo wa kumundu mazingira na kutatuwa matizo yanayo mzunguka. Historia iliyo na mfumo wa elimu iliyopo sasa ni ya kuwafanya watu wajinga kwa ajili ya manufaa ya wakoloni weusi ccm. ndio maana tuna ma PHD holders ambao hawana uwezo hata wa kujikimu kimaisha bila kujipendekeza kwa watawala. Tunahitaji kujenga system ambayo taaluma na welidi vinazingatiwa katika kufanya maamuzi na mipango ya kijamii.Kwa mujibu wa video, mahojiano haya yalifanyika huko nchini Nigeria mnamo mwaka 1968. Mwaka mmoja baada ya Kambona kwenda ukimbizini huko nchini Uingereza.
Aisee sikujua hili. Walitofautiana nini Obote na Mwalimu ilhali nchi yetu iliingia hasara kubwa kifedha na uhai wa watu wake katika vita ile ya kumtetea Obote?Nyerere alijiepusha Kushiriki Msiba wa Kambona 1997 kama ambavyo Milton Obote (Rais wa Kwanza wa Uganda) alivyokataa kushiriki Msiba wa Nyerere hata kutoa pole japo Nyerere alituingiza Vitani 1978 ili amrejeshe Madarakani Shosti yake Obote
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingereza wangekuwa na nia ya kumuondoa wangetumia hiyo fursa kwani Nyerere aliishapotea maboya na hao hao waingereza wakamrejesha tena madarakani.Huo ulikuwa mchezo wa waingereza kutaka kumdhoofisha Nyerere, na Mzee kifimbo pengine aliugundua mapema ndo Maana akamtuma Kambona akijua kabisa kuwa na yeye anamkono katika uhasi
Zimwi likujualo hapo wakiona hata Kambona siyo wa kumuamini na kumuwekaWaingereza wangekuwa na nia ya kumuondoa wangetumia hiyo fursa kwani Nyerere aliishapotea maboya na hao hao waingereza wakamrejesha tena madarakani.
Wewe ni Mkenya?Huyu Jamaa ni nani?
Mzalendo na mpigania Uhuru? Au msaliti na kibaraka wa ubeberu?
Hii nchi ina mengi kusema kweli.
Thanks for this, hivi ni vitu adimu, jamaa was smart
P
Wee kiboko, kumgomea Makonda tu kumewaletea chuki kiasi hiki!Wamarekani hawajui
Kuweka record sawa, huyo jamaa (Rip) mwaka 1964 wakati JWTZ lilipoasi dhidi ya serikali ya Nyerere na yeye akiwa, nafikiri waziri wa ulinzi, ndiye aliyezima uasi huo.
Aliongea na wanajeshi waasi wa JWTZ waliotaka kuongea naye yeye kama waziri wa ulinzi na ndipo yeye Kambona akaongea na balozi wa Uingereza na Uingereza ikaleta vikosi vya makomandoo na kuutokomeza kabisa uasi huo.
Wakati hayo yote yakitokea Mwl. Nyerere alitoroshwa na huyu huyu Kambona na kwenda kumficha huko Mkuranga hadi hali ilipotengemaa ndipo Nyerere akarejeshwa tena Dar.
Baada ya matukio hayo inaonekana Nyerere hakumuamini tena Kambona na alihisi kutokuwa salama wakati huyo jamaa akiwa serikalini kwani Kambona alionekana kuaminiwa zaidi na mataifa ya magharibi kuliko yeye Nyerere aliyeonekana machoni mwa wazungu kama A Communist.
Tukubali tusikubali, huyu Kambona kama ndio angekuwa rais nchi hii leo ingekuwa inacheza ligi moja na Nigeria, South Africa, Egypt, Algeria na Morocco kiuchumi.
NB: Huyu jamaa kuna kipindi wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika alimnasa Kawawa (Rip) kibau kwenye kikao kimoja na wakoloni baada ya Kawawa "Kubwabwaja" kitu alichoona ni cha hovyo, mwenye kumbukumbu atujuze zaidi.
right truck! TRACK.Kipindi kile ilikua unachagua team ya ushindi Kwa level ya mwelekeo wa kidunia. Mwalm alichagu team ya ushindi ilio shindwa Kwa level ya kidunia.
Kambona alichagua team ya ushindi Kwa level ya kidunia lakin hakua na mamlaka ya kuelekeza taifa kwenye team hiyo. Laiti mwalm pamoja na influence aliokuanayo angechagua team ya kambona ....
Rejea CCM na kuvunja makundi, Kwa level hio (crude) then transform Kwa level ya world order.
Utaelewa nini kilikua kikiendea kipindi hicho muhimu kilicho leta Amani duniani kwa Ku promote capitalism na democracy.
My take, kamboan was in a right truck, nyere was in the wrong truck, but they all had a good intation for their people.